Acheni story za vilabuni nankupotosha watu kwa maisha yakusadikika wewe unapokea 1.3m take home unataka ujiweke na wewe mgu wa maisha ya chini sawa na yule anaye pokea 340,000/ kwa mwezi , watu mna story sana za vitabuni nyie.
Ukisevu mshahara wako wote kwa miezi sita bila kutumia kiasi chochote ni 1300000x6 =7,800,000 . Sasa hebu tueleze boss, hiyo 10m uliipataje kwa miezi 6 au wewe ni chuma ulete?