Nilivyotongozwa na msichana Baa

H
Hujui kudanganya wewe. Hata mtoto mdogo hawezi kuamini ujinga kama huu.
 
H

Hujui kudanganya wewe. Hata mtoto mdogo hawezi kuamini ujinga kama huu.
Siku zote huwezi ukasoma kila kitu na ukakipenda na kikakufurahisha. Endelea kubaki na uelevu wako na huu ujinga urudishe hapa hapa halafu wewe chapa lapa
 
Yaani unatongozwa bar unakuja kujisifia? Na ukute bar yenyewe ni kitambaa cheupe.
 
Angalau mzigo ulikula hayo mengine yanarekebishika ni mambo ya dunia tu..!
 
Uoe sasa kaka, floor ya nne hii hapa

Hizi chai ni fedheha
Ilishawahi nitokea kwenye lounge flani, alikuja mdada kwa style hio hio kwamba kuna mwenzie anataka mazungumzo nami, mi mwenyewe master ninja, nlikua counter, baada ya kumchukua maelezo nikamuambia unakunywa nini dada? Sikumbuki hata ni pombe ipi aliagiza hata jina siikumbuki baada ya kulipia
nilipotea yale mazingira kama ninja.

Kama walikuja kunitafuta nadhani walifurahi na nafsi zao wenyewe.

Kibaya zaidi nilikuwa mgeni sana yale mazingira.

Haya mambo yanatokea japo mtoa mada ni kama anazungumzia mazingira ya kishirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…