ππππ Kwanza ulisema humuogopi boya tyuu.!! Umesahau manyanza??Countrywide uongo wangu uko wapi Mzee mwenzangu? Halafu Mimi uongo sipendi kabisa na mambo yangu yote yapo recorded kabisa
Lamomy hebu nisaidie Kumuuliza huyo Gucci /Versace wako.
Nidanganye ili iwaje? π π π
Usiku mwema π₯Ήππππ Kwanza ulisema humuogopi boya tyuu.!! Umesahau manyanza??
Haya leo huyo pambana naye, mi refa hapa.
Ngoja nikuitie mmalizane π€£π€£π€£
My baeibeyyyy My Sweet My Albert Tomber
πππ kumekucha amka wewee!!Usiku mwema π₯Ή
Nikuache kwan nimekuoa? πππFwalaaaa kabisa hebu niache Kwanza πππ
πππ Thubutuuu.!! Mi nikikupenda si utaringa wewe!! Utacheka cheka hovyo peke yako.Si unanitaka wewe πππ
πππ Mi mwenyewe JASUSIπ π π π π
Nitakukamata tu Wewe na mipango ya Kijasusi ishaanza.
Mwamba wa kaskazini anakuzoom unataka kujichomeka kwenye usingizi wake ohhh.!! ππππHuwa
Nikiamua jambo sishindwi, We subiri tu
Sina haja ya kujichomeka ila nataka nikutie mikononi halafu nakukaushia tu. Bhanae hebu niache aiseeMwamba wa kaskazini anakuzoom unataka kujichomeka kwenye usingizi wake ohhh.!! ππππ
ππππ π π π
Dharau za SGR hizi.
Huo ujasiri wa kunikaushia utakuwa unao?? ππSina haja ya kujichomeka ila nataka nikutie mikononi halafu nakukaushia tu. Bhanae hebu niache aisee