Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sijaona mkuuHujaona notification π??? π π π π
Aiseee, π’π’π’ππππ
Tabu za dunia Dada yangu, kawaida tu changamoto maana ndio kukomaa kwenyewe huko
Ww ni muongo sana, soma kwa makini ulichopost utaelewaCountrywide uongo wangu uko wapi Mzee mwenzangu? Halafu Mimi uongo sipendi kabisa na mambo yangu yote yapo recorded kabisa
Lamomy hebu nisaidie Kumuuliza huyo Gucci /Versace wako.
Nidanganye ili iwaje? π π π
Hivi ile issue mmeelewana au kakuzingua?I can't wait kukuona ukiwa CEO,ila ongea taratibu Lamomy asisikie atakurogaπ
Manyaza huwa ni dhaifu sanaπππππ Kwanza ulisema humuogopi boya tyuu.!! Umesahau manyanza??
Haya leo huyo pambana naye, mi refa hapa.
Ngoja nikuitie mmalizane π€£π€£π€£
My baeibeyyyy My Sweet My Albert Tomber
Huyo muongo muongo sana alafu anatongoza kila ke humu na wanamuangushaπMwamba wa kaskazini anakuzoom unataka kujichomeka kwenye usingizi wake ohhh.!! ππππ