Nilivyotongozwa na msichana Baa

Nilivyotongozwa na msichana Baa

Wewe subiri tu na utakuja kujiona kumbe sio mjanja ila unaigiza ni mjanja. Dawa zipi? Mbona unaishi maisha ya 90 wakati tupo 2024 sasa hivi?. Yaani una hisia negative sana 🀣🀣🀣
Wewe una dawa zako unazibrand humu na ulimwambia da Joh anywe 🀣🀣🀣🀣
Ww utakuja kuumiza watu ujue
 
Sitakula Kimasihara wala nini kwa sababu ni ubavu wako ili nataka nimuingize kwenye 18 ili awe na adabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Wee shtuka kwenye hiyo ndoto utajikojolea ujue Manyanza
 
Uongo wakati ulikuwa unaomba namba ucheze ndondo cup 🀣🀣🀣🀣
Da mau kakunawa mapema
Nishaanza kula vitu vilivyo toka Mother land kabla ya kuhamia hapa Bongo mpaka nikajua kuanguakia kwa huyu Nili yemuanzishia uzi Tuma Audi
 
Back
Top Bottom