Nilivyotongozwa na msichana Baa

Nilivyotongozwa na msichana Baa

Wee ushindweeee 😂😂😂
Anifute undugu ili iweje?? Yani anikatae damu yake we huogopi?? 🤣

Sisy Joannah zile pesa bana za wizzy we mtumie namba zako akuingizie hizo pesa weekend hii ukapate mvinyo usafishe koo 😂😂
🤣🤣🤣🤣Nyie watu mbona mnarushiana Tena mpira?we nipe bwana si unajua mkono unaotoa ndio unaobarikiwa? Countrywide nateswaaa mimi
 
Nataka huyu huyu Lamomy, sina haja ya kunilengesha haya Mambo nina uzoefu nao kitambo na mpaka nimeamua kuyaacha maana sipati chochote zaidi kupoteza focus ya mambo yangu yaliyonifanya niendelee kuishi hapa duniani
Una wazimu wewe 😂😂😂
 
Wee ushindweeee 😂😂😂
Anifute undugu ili iweje?? Yani anikatae damu yake we huogopi?? 🤣

Sisy Joannah zile pesa bana za wizzy we mtumie namba zako akuingizie hizo pesa weekend hii ukapate mvinyo usafishe koo 😂😂
Sio vizuri lakini, sisy Joa mtu wetu sana huyu. Naomba fanya jambo ASAP, weekend iishe poa. Ni kumbless tu
 
Back
Top Bottom