Nilivyotongozwa na msichana Baa

Sasa mkuu hayo aliyo kwambia mwishoni ni yapi? Na demu wako alikwambia nini? Alijua kuwa umeuza mechi? Na kama ndio alijuaje? Malizia hii story vizuri mkuu
 
Mkuu hii nchi ngumu sana yule Tuma Audi hata sikumuona tena na yale matukio yalivotokea utadhani ni kama wiki nzima kumbe ni masaa 46 tu. Nilivurugika sana aisee. Kweli mambo yasiyo tarajiwa yapo humu duniani
 
Endelea kujifariji πŸ˜‚
Sina haraka sana na Wewe utajaa kwenye mfumo halafu utajiona kiazi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimesha chora ramani za Kijasusi tayari bado kama step mbili tu ujae kwenye kidebe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kuota πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maelezo yote hayo ni kutongozwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…