Niliwaambia Pep Gudiola anamrahisihia Erteta kuchukua ubingwa haya sasa amewaondoa kikosoni Jao cancelo na bernado Silva

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city

Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians

Bernado Silva anasepa

Tukumbuke hawa wachezaji wawili hakuna wa kuwaweka benchi pale manchester city

Ile bwana upara amewaachia waondoke ili yule kocha wa mid table team arteta

Poor Pep

Nawaomba EPL wamtumue mara moja kipara
 
Guardiola aliletwa Manchester city kwasababu ya UEFA champions league mpaka sasa hajabeba anagangaika tu mwarabu anamlia timing muda si mrefu anamla kichwa kwasababu alikuwa anamtimizia kila kitu kwa wakati.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Dua la kuku, Daddy shekhe unahis atamtoa kiwepesi?

Aje nani?

Unaijua CV ya upara?
 
Makocha wameisha dunia kwanza mpira wake wa kitoto ule UEFA champions league ataisikia tu maana hana adabu kwa wapinzani yeye kila mechi ni kushambulia tu hakuna team inayocheza possession based football iliyochukua trophy currently ndio maana klopp kila siku anamdunda hata awe mbovu vipi league atachukua mpaka achoke ila UEFA champions league ataisiikia tu kwenye sports extra ya clouds fm

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Makocha wameisha dunia kwanza mpira wake wa kitoto ule UEFA champions league ataisikia tu maana hana adabu kwa wapinzani yeye kila mechi ni kushambulia tu hakuna team inayocheza possession based football iliyochukua trophy currently ndio maana klopp kila siku anamdunda hata awe mbovu vipi league atachukua mpaka achoke ila UEFA champions league ataisiikia tu kwenye sports extra ya clouds fm

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kwa uchambuz huu acha nikae kimya
 
Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city

Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians

Bernado Silva anasepa

Tukumbuke hawa wachezaji wawili hakuna wa kuwaweka benchi pale manchester city

Ile bwana upara amewaachia waondoke ili yule kocha wa mid table team arteta

Poor Pep

Nawaomba EPL wamtumue mara moja kipara
Ukiwa mjinga ni shida sana. Hivi timu inayofukuzia ubingwa wa EPL ni Man City na Arsenal pekee?

Pia kama ni kocha msaidizi, hata yule wa Man U alikuwa msaidizi wa Pep kule Bayern Munich.

Nyuzi zingine ni za kipumbav sana
 
Manchester city ndio complete package ya ubingwa ila anawatoa

Cancelo
Silva

Katikati ya misimu kwa maksudi ili mashabiki wawe na sababu

Ni lini Eric alikuwa msaidizi wa Pep? Au unawazimu

Kama unakiri ni complete package , kwanini tena unaashiria bila cancelo city jawachukui ubingwa ?
 
Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city

Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians

Bernado Silva anasepa

Tukumbuke hawa wachezaji wawili hakuna wa kuwaweka benchi pale manchester city

Ile bwana upara amewaachia waondoke ili yule kocha wa mid table team arteta

Poor Pep

Nawaomba EPL wamtumue mara moja kipara
Baada ya kuona utabiri wenu wa arsenal hawezi kula xmas akiwa kileleni kubuma, sasa mmeanza kutafuta wa kumlaumu.
 
Back
Top Bottom