Guardiola aliletwa Manchester city kwasababu ya UEFA champions league mpaka sasa hajabeba anagangaika tu mwarabu anamlia timing muda si mrefu anamla kichwa kwasababu alikuwa anamtimizia kila kitu kwa wakati.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Mfano wewe ndie ungekuwa mwarabu wa man city.. ungemtimua guardiola ili umuajiri nani ?
Unaona Kocha gani ni bora kuzidi guardiola anaefaa kufundisha man city