uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Dua la kuku, Daddy shekhe unahis atamtoa kiwepesi?Guardiola aliletwa Manchester city kwasababu ya UEFA champions league mpaka sasa hajabeba anagangaika tu mwarabu anamlia timing muda si mrefu anamla kichwa kwasababu alikuwa anamtimizia kila kitu kwa wakati.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Makocha wameisha dunia kwanza mpira wake wa kitoto ule UEFA champions league ataisikia tu maana hana adabu kwa wapinzani yeye kila mechi ni kushambulia tu hakuna team inayocheza possession based football iliyochukua trophy currently ndio maana klopp kila siku anamdunda hata awe mbovu vipi league atachukua mpaka achoke ila UEFA champions league ataisiikia tu kwenye sports extra ya clouds fmDua la kuku, Daddy shekhe unahis atamtoa kiwepesi?
Aje nani?
Unaijua CV ya upara?
Kwa uchambuz huu acha nikae kimyaMakocha wameisha dunia kwanza mpira wake wa kitoto ule UEFA champions league ataisikia tu maana hana adabu kwa wapinzani yeye kila mechi ni kushambulia tu hakuna team inayocheza possession based football iliyochukua trophy currently ndio maana klopp kila siku anamdunda hata awe mbovu vipi league atachukua mpaka achoke ila UEFA champions league ataisiikia tu kwenye sports extra ya clouds fm
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Ukiwa mjinga ni shida sana. Hivi timu inayofukuzia ubingwa wa EPL ni Man City na Arsenal pekee?Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city
Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians
Bernado Silva anasepa
Tukumbuke hawa wachezaji wawili hakuna wa kuwaweka benchi pale manchester city
Ile bwana upara amewaachia waondoke ili yule kocha wa mid table team arteta
Poor Pep
Nawaomba EPL wamtumue mara moja kipara
Ukiwa mjinga ni shida sana. Hivi timu inayofukuzia ubingwa wa EPL ni Man City na Arsenal pekee?
Pia kama ni kocha msaidizi, hata yule wa Man U alikuwa msaidizi wa Pep kule Bayern Munich.
Nyuzi zingine ni za kipumbav sana
Mleta mada ana tatizo la kuota mchana.Silva anaenda wapi?
Kama unakiri ni complete package , kwanini tena unaashiria bila cancelo city jawachukui ubingwa ?Manchester city ndio complete package ya ubingwa ila anawatoa
Cancelo
Silva
Katikati ya misimu kwa maksudi ili mashabiki wawe na sababu
Ni lini Eric alikuwa msaidizi wa Pep? Au unawazimu
Baada ya kuona utabiri wenu wa arsenal hawezi kula xmas akiwa kileleni kubuma, sasa mmeanza kutafuta wa kumlaumu.Kwa makusudi Pep, kisaikolojia alim distable jao cancelo na Bernado Silva ili wachukie kucheza manchester city
Jao cancelo mchezaji muhimu kwenye kikosi cha manchester City ameenda Bavarians
Bernado Silva anasepa
Tukumbuke hawa wachezaji wawili hakuna wa kuwaweka benchi pale manchester city
Ile bwana upara amewaachia waondoke ili yule kocha wa mid table team arteta
Poor Pep
Nawaomba EPL wamtumue mara moja kipara