Niliwaambia Pep Gudiola anamrahisihia Erteta kuchukua ubingwa haya sasa amewaondoa kikosoni Jao cancelo na bernado Silva


Mfano wewe ndie ungekuwa mwarabu wa man city.. ungemtimua guardiola ili umuajiri nani ?

Unaona Kocha gani ni bora kuzidi guardiola anaefaa kufundisha man city
 
Wakuu huyu muacheni tu anateseka sana na Arsenal.
uwe hodari ni mara ngapi tukwambie gunners bingwa msimu huu husikii..
 
Hivi ubingwa unachukuliwa kwa pointi sita za home and away za Man City.?
The Gooners kama watachukua ubingwa wamestahili.Ndio timu inayocheza mpira wa malengo na team work katika Premier League.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…