Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

Kwani Kagera walikuwa na match fitness?mbona mlishindwa kuwafunga na mliponea kwenye mbeleko ya refa aliyekataa goli lao halali
Kagera na Yanga wote walikuwa hawana match fitness
 
Huu utetezi wa match fitness umekuja baada ya Azam kuokolewa na Kayoko

Jishikilieni vizuri tunakuja huko juu kwa kishindo kikuu
Kwani gap limepungua au limeongezeka? Au limebaki vile vile? Unaposema tunakuja huko juu maanake mmepunguza gap sasa mmepunguza point ngapi?
 
Kila mwenye akili timamu ambae alitazama ule mpira anajua sababu ya yale matokeo ni nini, sababu sio uwanja hata kidogo msimu uliopita tuu Simba walishinda goli 4 dhidi ya geita gold kwenye uwanja huo huo, mpira unachezwa uwanjani na Kila mmoja anatazama kinacho endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…