Niliwahi andika natafuta mganga

Niliwahi andika natafuta mganga

tecknologia23

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2023
Posts
259
Reaction score
382
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.

Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli sijui yamesikika maana

Juzi hapa nilikuwa kwenye daladala nikaona karibu na car wash ya ndugu yangu Niko hapo pakuingilia naita wateja nakuwaelekeza pakupaki ili yaoshwe uzuri ni mtu alikuwa anashuka na kumlipa nauli konda maeneo hayo karibu na hiyo car wash nikaona vyema nimevaa gauni nyeupe na suruali nyeusi walahi sijaamini nimechoka tokea hiyo siku mpaka naleo Niko Njia panda nimeenda hospitali naumwa balaa Leo sioni vizuri . I think mshuko just imagine upo kwenye daladala na bado upo hapo unafanya kazi ya kuita wateja na kuwapa mwongozo . Huyo shetani nashangaaga ananifuatiaga sana Tena pale nikiwa nimetoka mahali kutibiwa kumbe nimejua natolewa hapo narudishwa Tena.

Nimeishiwa nguvu hapa naandika huenda ndio nakosa pumzi mazima , yaani nimeteseka kurudi kwenye track, napia najitajidi kila kazi kasoro kujiuza naambuliwa kuambiwa nimwanaume mwenye nyota Yako mie nilizania wachumba na piga vibuto weh kumbe ni huyu ndugu yangu kanifanya msukule aisee inauma halafu nimejiona nimechana nywele hadi Raha. Niko very nice naita wateja aisee. Ila sio msafi Wala nipo tu .

Hayo maombi ni 6g aisee acha tu.

Maisha haya unadhani hili kumbe lile My family wamewasaidia hao wajinga hao hadi wakamaliza shule ila wao Sasa wakatuchukulia maisha without knowing.

Sijui niende kwenye maombi au niende kuchukua nyota yangu Kwa yule jamaa walindi???

Maana ndio alisema mbuzi wawili,na mambo Mengi arudishe hiyo kitu mie nilikataa alisema Kuna mahali nipo aisee siku mwamini.

Ila sijaolewa Kisa wao umri umeenda Kisa wao muda wakujidai umepita Kisa wao Kwa maana nawajua wengi tu.

Ila Kwa huyu aisee ameniweza sana .
 
IMG_6260.jpg
 
Leo nimeona misukule inavyoandika na kujieleza.

Hakika, wamekatika. Binadamu wa kawaida hatuwezi kuelewa.
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu .

Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli sijui yamesikika maana...
 
Back
Top Bottom