Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Hapo alivyo unaweza kumtuma simu akarudi na remoteLindi wamepasua spika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo alivyo unaweza kumtuma simu akarudi na remoteLindi wamepasua spika ?
imenibid nirudie kusoma x3 ndo nielew. Kwa maelezo yake n kuwa kna kpnd alikua na shda na akaja hapa jf kutafta mganga, aliangaika sana mwishowe akampata mganga toka lindi, akafunga safar kwenda had huko. Uyo mganga akamwambia kua ana nyota kali sana ila anamuona kuna sehem kafungwa yupo kwaiyo had kumtoa hyo sehem yampasa anunue mbuzi wawili.yeye hakumuamin mganga akaamua kurud mjin. So akaamua kujihusisha na maombi na ajabu n kua kuna siku alikua kwny daladala kuna abiria akawa anashuka so kpnd gar imecmama pemben kuna car wash ya ndugu yake. Ajab akajion yy mwenyew yupo pale akiw kavaa gaun jeupe na surual nyeuc tena anakarbisha magar na kuelekeza sehemu za kupaki.So akawa anashangaa imekuaje yupo kwny gar af anajiona tena anakarbsha magar pale car wash. So akaanza kuamin alichoambiwa na mganga na anajilaumu why hakumuamini na angejua angenunua tu ao mbuz. Pia anamchukia aliefny hvo sbb kafanya mpk nw hajaolewa n.kmsaada aliyeelewa tafadhali
Kalishwa kubi huyo.imenibid nirudie kusoma x3 ndo nielew. Kwa maelezo yake n kuwa kna kpnd alikua na shda na akaja hapa jf kutafta mganga, aliangaika sana mwishowe akampata mganga toka lindi, akafunga safar kwenda had huko. Uyo mganga akamwambia kua ana nyota kali sana ila anamuona kuna sehem kafungwa yupo kwaiyo had kumtoa hyo sehem yampasa anunue mbuzi wawili.yeye hakumuamin mganga akaamua kurud mjin. So akaamua kujihusisha na maombi na ajabu n kua kuna siku alikua kwny daladala kuna abiria akawa anashuka so kpnd gar imecmama pemben kuna car wash ya ndugu yake. Ajab akajion yy mwenyew yupo pale akiw kavaa gaun jeupe na surual nyeuc tena anakarbisha magar na kuelekeza sehemu za kupaki.So akawa anashangaa imekuaje yupo kwny gar af anajiona tena anakarbsha magar pale car wash. So akaanza kuamin alichoambiwa na mganga na anajilaumu why hakumuamini na angejua angenunua tu ao mbuz. Pia anamchukia aliefny hvo sbb kafanya mpk nw hajaolewa n.k
Ndo maana mnafeli mitihani nyie .umeandika nn sasaWatu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.
Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli sijui yamesikika maana
Juzi hapa nilikuwa kwenye daladala nikaona karibu na car wash ya ndugu yangu Niko hapo pakuingilia naita wateja nakuwaelekeza pakupaki ili yaoshwe uzuri ni mtu alikuwa anashuka na kumlipa nauli konda maeneo hayo karibu na hiyo car wash nikaona vyema nimevaa gauni nyeupe na suruali nyeusi walahi sijaamini nimechoka tokea hiyo siku mpaka naleo Niko Njia panda nimeenda hospitali naumwa balaa Leo sioni vizuri . I think mshuko just imagine upo kwenye daladala na bado upo hapo unafanya kazi ya kuita wateja na kuwapa mwongozo . Huyo shetani nashangaaga ananifuatiaga sana Tena pale nikiwa nimetoka mahali kutibiwa kumbe nimejua natolewa hapo narudishwa Tena.
Nimeishiwa nguvu hapa naandika huenda ndio nakosa pumzi mazima , yaani nimeteseka kurudi kwenye track, napia najitajidi kila kazi kasoro kujiuza naambuliwa kuambiwa nimwanaume mwenye nyota Yako mie nilizania wachumba na piga vibuto weh kumbe ni huyu ndugu yangu kanifanya msukule aisee inauma halafu nimejiona nimechana nywele hadi Raha. Niko very nice naita wateja aisee. Ila sio msafi Wala nipo tu .
Hayo maombi ni 6g aisee acha tu.
Maisha haya unadhani hili kumbe lile My family wamewasaidia hao wajinga hao hadi wakamaliza shule ila wao Sasa wakatuchukulia maisha without knowing.
Sijui niende kwenye maombi au niende kuchukua nyota yangu Kwa yule jamaa walindi???
Maana ndio alisema mbuzi wawili,na mambo Mengi arudishe hiyo kitu mie nilikataa alisema Kuna mahali nipo aisee siku mwamini.
Ila sijaolewa Kisa wao umri umeenda Kisa wao muda wakujidai umepita Kisa wao Kwa maana nawajua wengi tu.
Ila Kwa huyu aisee ameniweza sana .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] imebidi nipitie post zake za nyuma ila ni yaleyale.Leo nimeona misukule inavyoandika na kujieleza.
Hakika, wamekatika. Binadamu wa kawaida hatuwezi kuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu una moyo na ubongo wa kipekee [emoji3]imenibid nirudie kusoma x3 ndo nielew. Kwa maelezo yake n kuwa kna kpnd alikua na shda na akaja hapa jf kutafta mganga, aliangaika sana mwishowe akampata mganga toka lindi, akafunga safar kwenda had huko. Uyo mganga akamwambia kua ana nyota kali sana ila anamuona kuna sehem kafungwa yupo kwaiyo had kumtoa hyo sehem yampasa anunue mbuzi wawili.yeye hakumuamin mganga akaamua kurud mjin. So akaamua kujihusisha na maombi na ajabu n kua kuna siku alikua kwny daladala kuna abiria akawa anashuka so kpnd gar imecmama pemben kuna car wash ya ndugu yake. Ajab akajion yy mwenyew yupo pale akiw kavaa gaun jeupe na surual nyeuc tena anakarbisha magar na kuelekeza sehemu za kupaki.So akawa anashangaa imekuaje yupo kwny gar af anajiona tena anakarbsha magar pale car wash. So akaanza kuamin alichoambiwa na mganga na anajilaumu why hakumuamini na angejua angenunua tu ao mbuz. Pia anamchukia aliefny hvo sbb kafanya mpk nw hajaolewa n.k
Watanzania wengi ni vilaza na wavivu wa kusoma na kuchanganua mambo nimeshangaa Kila mtu anasema hajaelewa Mimi nimeelewa Kama ulivyoelewa wewe it means kaeleweka.imenibid nirudie kusoma x3 ndo nielew. Kwa maelezo yake n kuwa kna kpnd alikua na shda na akaja hapa jf kutafta mganga, aliangaika sana mwishowe akampata mganga toka lindi, akafunga safar kwenda had huko. Uyo mganga akamwambia kua ana nyota kali sana ila anamuona kuna sehem kafungwa yupo kwaiyo had kumtoa hyo sehem yampasa anunue mbuzi wawili.yeye hakumuamin mganga akaamua kurud mjin. So akaamua kujihusisha na maombi na ajabu n kua kuna siku alikua kwny daladala kuna abiria akawa anashuka so kpnd gar imecmama pemben kuna car wash ya ndugu yake. Ajab akajion yy mwenyew yupo pale akiw kavaa gaun jeupe na surual nyeuc tena anakarbisha magar na kuelekeza sehemu za kupaki.So akawa anashangaa imekuaje yupo kwny gar af anajiona tena anakarbsha magar pale car wash. So akaanza kuamin alichoambiwa na mganga na anajilaumu why hakumuamini na angejua angenunua tu ao mbuz. Pia anamchukia aliefny hvo sbb kafanya mpk nw hajaolewa n.k