Niliwahi andika natafuta mganga

msaada aliyeelewa tafadhali
imenibid nirudie kusoma x3 ndo nielew. Kwa maelezo yake n kuwa kna kpnd alikua na shda na akaja hapa jf kutafta mganga, aliangaika sana mwishowe akampata mganga toka lindi, akafunga safar kwenda had huko. Uyo mganga akamwambia kua ana nyota kali sana ila anamuona kuna sehem kafungwa yupo kwaiyo had kumtoa hyo sehem yampasa anunue mbuzi wawili.yeye hakumuamin mganga akaamua kurud mjin. So akaamua kujihusisha na maombi na ajabu n kua kuna siku alikua kwny daladala kuna abiria akawa anashuka so kpnd gar imecmama pemben kuna car wash ya ndugu yake. Ajab akajion yy mwenyew yupo pale akiw kavaa gaun jeupe na surual nyeuc tena anakarbisha magar na kuelekeza sehemu za kupaki.So akawa anashangaa imekuaje yupo kwny gar af anajiona tena anakarbsha magar pale car wash. So akaanza kuamin alichoambiwa na mganga na anajilaumu why hakumuamini na angejua angenunua tu ao mbuz. Pia anamchukia aliefny hvo sbb kafanya mpk nw hajaolewa n.k
 
Kuna saa maisha yanavuruga nyie, pole mtoa mada
 
Kalishwa kubi huyo.

Mganga kamuweka kwenye kigae lazima akae
 
Ndo maana mnafeli mitihani nyie .umeandika nn sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu una moyo na ubongo wa kipekee [emoji3]
 
Watanzania wengi ni vilaza na wavivu wa kusoma na kuchanganua mambo nimeshangaa Kila mtu anasema hajaelewa Mimi nimeelewa Kama ulivyoelewa wewe it means kaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…