Niliwahi kuidukua simu ya Ex wangu kwa kumzawadia simu niliyoidukua bila yeye kujua. Nilichokitafuta nilikipata na siwezi tena kurudia

Huyo jamaa karogwa
 
Mtu hujamuoa unamdukua wa nin? Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Au nawewe ni wale wale? mfano sijakuoa unaniomba hela ya nini.
 
Mimi nataka kudukua simu ya mfanyakazi wangu ananisaidia kwenye uendeshaji wa biashara be yangu lakini kuna mienendo sijaielewa nataka kujua mawasiliano yake yote!

NB: Anatumia simu ndogo yaani kiswaswadu!
 
Dah
 
Mimi nataka kudukua simu ya mfanyakazi wangu ananisaidia kwenye uendeshaji wa biashara be yangu
1. Mfanyie suprize kwa kumnunulia simu mpya smartphone, Yes onesha upendo kuwa unamjali.

2. Simu husika iwe tayari imewekewa spy app yenye full access ya SMS, CALL, WHATSAPP, ayaani kila kitu cha kwenye simu.

3. Baadhi ya spy appp zinazofanya vizuri (za kulipia sio bure)
- hoverwatch
-mspy
Soma taarifa zake mtandaoni.

Kama hujui jinsi gani inafanyika. Nipe kazi

1. Nitanunua simu husika kwa gharama zako
2. Nitalipia app husika kwa gharama zako
3. Nitafanya installation kwenye simu husika - Utanilipa
4. Nita test kuhakiskisha kila kitu kinafanya kazi vyema
5. Nitakukabidhi simu yako / Kama uko mkoani utatumiwa kwa gharama zako | Baada ya kuwa imerudishiwe kwenye boksi lake kama ilivyo nunuliwa.

Warning: Please note that invading someone's privacy is against the law. Do at your own risk
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma mazee, daaah mimi siwezi hizi mambo kabisa za kudukua manzi hata sijawahi japo kupata access ni dk 0 tu..
 
Hahahahaaa ila we jamaaa umenifurahisha sio utani
 
Hii thread sikuwahi kuiona.
Kuanzia thread na comments zake zote ni moto fire! 😂😂😂🤣
 
Nimecheka sana pole mkuu, mimi niliwahi kupigiwa Dem na captain wa Jeshi, Daah niliumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…