Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kudadeki😀Picha linaanza msafiri hadi saa 3 usiku hajafika mkoa husika wakati ni trip ya kufika saa 11 angekuwa kashafika, nauliza mbona hunipi updates za mgeni, eti ameshafika tuko tunazunguka madukan mjini
Kumbe sound.
Huyo jamaa karogwaKuweka kidukuzi kufuatilia mawasiliano ya simu kwa mpenzi wako,,unayempenda sana,,
kunataka uwe na roho ngumu haswa,,
Vinginevyo utakuja kuaibika mwishoni.
Kuna rafiki yangu fulani alikuwa na msichana wake ,,
ambaye alikuwa anampenda sn ,,
hata kwa kuangalia mapenzi yao kwa macho tu,
jamaa alikufa na kuoza kwa yule msichana mwanachuo..
jamaa alimpenda Sana yule demu..
Baada ya jamaa kupigwa sn matukio na yule demu Kwa muda mrefu,,
Akaamua adukuwe mawasiliano ya mchumba wake,,
Basi sms pamoja na calls zote msichana akipigiwa na jamaa nae anazipata tena bila msichana wake kujuwa.
Siku Moja msichana akaaga atatoka kwenda chuo,,
Jamaa akamruhusu atoke lakini awahi kurudi,,
Yote hayo jamaa ni ktk kutaka kujikaza kiume,,
Lakini alikuwa anajuwa kila kitu demu wake anakwenda kwa msela kupigwa mbupu,,
Lengo lake ni kutaka kumkamata Kwa ushahidi akiwa na yule msela.
Demu kaita bodaboda,,,jamaa kuona bodaboda imefika,,,demu wake yupo juu ya bodaboda,,
Jamaa uzalendo ukamshinda akazuia bodaboda isiondoke.
Jamaa akaanza kupaza sauti Kwa kelele hata kujaza mtaa mzima,,
"Najuwa Kila kitu kwamba unakwenda kwa jamaa.."
Jamaa akaanza kulia kabisa mbele ya demu ,
"Nini umekosa kwangu"
Ikawa vurugu tupu...
Huwezi amini pamoja na matukio yote hayo,,Bado jamaa amemuoa hyo demu na ana watoto nae 2 tayari.
Ila amejiapiza kutodukuwa tena simu ya mkewe,,
Japokuwa bado hamuamini.
Au nawewe ni wale wale? mfano sijakuoa unaniomba hela ya nini.Mtu hujamuoa unamdukua wa nin? Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Sema kweli?Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Mkuu mambo vipi?.☕☕☕☕ ☕
DahHii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
1. Mfanyie suprize kwa kumnunulia simu mpya smartphone, Yes onesha upendo kuwa unamjali.Mimi nataka kudukua simu ya mfanyakazi wangu ananisaidia kwenye uendeshaji wa biashara be yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma mazee, daaah mimi siwezi hizi mambo kabisa za kudukua manzi hata sijawahi japo kupata access ni dk 0 tu..Hii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
Haha watu wanajipa shida aiseh,,Mtu hujamuoa unamdukua wa nin? Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Hahahahaaa ila we jamaaa umenifurahisha sio utaniHii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
ili mtuue na Ukimwi sioMtu hujamuoa unamdukua wa nin? Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Hii thread sikuwahi kuiona.Hii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
Nimecheka sana pole mkuu, mimi niliwahi kupigiwa Dem na captain wa Jeshi, Daah niliumia sana.Hii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
Kwahio Captain ulimuacha tu dahNimecheka sana pole mkuu, mimi niliwahi kupigiwa Dem na captain wa Jeshi, Daah niliumia sana.