GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume.
Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa Kike tupu kumbe huenda ana hii Changamoto tukuka inayosemwa hapa.
Haya enyi Wataalam wa JamiiForums njooni mtiririke nayo hii kwa Utaalam wenu ili tujue ni kweli au tunadanganyana tu?