GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Tushasikia vingi na havina uhalisia.View attachment 3677540
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume.
Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa Kike tupu kumbe huenda ana hii Changamoto tukuka inayosemwa hapa.
Haya enyi Wataalam wa JamiiForums njooni mtiririke nayo hii kwa Utaalam wenu ili tujue ni kweli au tunadanganyana tu?
Vipi Mkuu wewe ukiwa unakojoa Mkojo huwa Unajamba au ni kimya kimya tu?Tushasikia vingi na havina uhalisia.
Tukuulize wewe kwanzaView attachment 3677540
Kwamba Mwanaume ambaye akikojoa na hajambi hana uwezo wa kumfanya Mwanamke wake / Mke wake akibeba Mimba amzalie tu Watoto wa Kiume.
Kuna Mtu namjua (tena Kiongozi) Yeye ana Watano na Wote ni wa Kike tupu kumbe huenda ana hii Changamoto tukuka inayosemwa hapa.
Haya enyi Wataalam wa JamiiForums njooni mtiririke nayo hii kwa Utaalam wenu ili tujue ni kweli au tunadanganyana tu?
Sure lo
Najamba wakati wa kunya tu.Vipi Mkuu wewe ukiwa unakojoa Mkojo huwa Unajamba au ni kimya kimya tu?
Vp una mtoto wa kiume mkuu?, ili tuthibitshe hiyo hoja hapoNajamba wakati wa kunya tu.
Mkuu samahani hujambi kabisa tokea Uzaliwe au hujambi pale tu unapokuwa Unasusu / Unakojoa?Sijambi na Nina watoto wawili wa kiume
Nkiwa nakojoaMkuu samahani hujambi kabisa tokea Uzaliwe au hujambi pale tu unapokuwa Unasusu / Unakojoa?