BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Niliwahi kusema watawala kinacho wapa nguvu ni kitu kimoja tu, AINA YA WATU WANAO WAONGOZA.
Watawala sio wajinga, sio wendawazimu, wanajua wanaongoza aina ipi ya raia,na wanajua pia Keybord movement hazina impact yoyote kwao.
Ukiona wanafungia makanisa, wanafunga kiongozi mkuu wa Chama kikuu cha upinzani ni kwa sababu 1 tu wanajua wanaongoza aina ipi ya raia.
Maxence Melo anasema alitishiwa kupotezwa na hao wahuni wangempoteza hakuna kitu tungeweza kufanya, Jamiiforums wakisema wasiifungulie pia hakuna kitu tunaweza fanya.
Kwa kifupi Watawala wanao uwezo wa kufanya lolote lile au chochote kile wakati wowote ule na hakuna kitu raia wanaweza fanya.
Kwa kifupi hakuna kitu raia wa hili taifa wanaweza wafanya watawala na pia watawala wanajua fika wanaongoza aina ipi ya watu.