Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Kuiunga mkono CCM ni kuunga mkono mauaji, utekaji, ufiraji, uporaji wa hakiza wananchi, uporaji wa rasilimali za nchi, ufisadi uliopindukia. Sasa kuyaunga mkono mambo hayo, ni ama uwe huna akili kabisa kiasi kwamba huna uwezo wa kusikia na kuona, na kisha kutafakari, AU roho yako iwe ni makao ya shetani, na hivyo kukufanya uwe muabudu maovu. Lakini kama una akili timamu, mkweli wa nafsi, mtu mwema unayethamini uhai na binadamu wenzako, kamwe huwezi kuwa mwanaCCM, wala huwezi hata kuwa karibu na hilo Chama Cha Mauaji.Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Never EverEmbu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Bwana mimacho kukodoaHilo mbona liko wazi..!?
Na ukiona msomi aliyeko huko ujue yuko kwa maslahi binafsi....yaani mwizi.
Na huwezi kuwa ccm ukawa na akiliEmbu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Hao wote uliowataja wana kadi za ccm, chadema wamejaa wavuta bangi hakuna mwenye akili paleEmbu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Hapo ndo mnapokosea. Hao wasomi nchi hii ni wangapi? Mkienda kwenye uchaguzi hao mnaowaita wajinga wakifanya maamuzi yao mnaanza kulalamika kula zimeibiwa au mnawazuia wasipige kura.Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM 🤣🤣
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Ina maana huyo Mzee Warioba ni msomi kuliko Rais wetu Mh. Doctor Samia??
Unachekesha sana buashee.