Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Embu angalia Watu wanaoiunga Mkono CHADEMA, ni Wasomi waloelimika, Prof Shivj, Prof Tibaijuka, Jaji warioba, Jumuiya za Wasomi Tanzania, TEC , Nchimbi, Polepole n.k
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM š¤£š¤£
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!
Sasa njooo CCM, angalia aina ya watu wake chamani na wanaoishabikia CCM š¤£š¤£
Hawa Wajinga hawatatuongoza tena !!!