Niliwamisi wana jf, ni yapi yame-trend ndani ya siku hizi?

Niliwamisi wana jf, ni yapi yame-trend ndani ya siku hizi?

Baada ya Muda ID yake nikawa sion, nasasa yapata mwaka na miezi bila kuiona.

Nahisi aliamua kubadili ID baada ya kuona nmemfaham nalabda hakuniamin .

Na sijui yu wapi, anatumia ID ingine au vipi yote haya siyajui.

Nachojua alikua ni HIV+ .

Akiona hapo, sidhan km atanimaind sana, sababu km aliniambia ukweli wake, basi ilitosha .

SIWEZI MTAJA HATA SIKU MOJA.
Dah juzi DaJane kazua kizazaa kwa wadada wa Jf sasa na wewe naona unataka kuanzisha balaa kwa wakaka wa jf wanao jipigia hovyo tu ..

Vipi intials ya hiyo ID ni Db au Mc ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana DaJane hana lolote kwa ninalolisema hapa.

Wala simtishi mtu, nachokazia ni watu kua makini, matumiz ya kondom na Kupima yazingatiwe.

Infact wahanga wakubwa wa hizi mambo ni wanawake, Trust me ,ni wanawake wengi ndio wahanga.

Sasa inshu inakuja ivi, unakuta huyo mwanamke, anawatu wawili humu wengine, nahao wawili nao wanawatu wao.

Unaweza ona hapa ,hali ilivo !!!.

Asikudanye mtu mkuu, ukiona tangazo la mtu kutafuta mtu, au tu mumePM alafu hajaweka kipengele cha kupima. Nahata mpaka unaenda kutombanaa naye haulizi habar za kupima au kondom ....

Bora uvae surual /gauni lako usepe .

Dunia yetu ni mbovu kushinda nyakat mbovu.
 
Habari wana jf.....
Toka juzi sijaingia jf. Nii nyuzi zipi ambazo zimetrend sana ndani xa hizi siku mbili kuanzia jumapili mpaka leo maana niliacha ule uzi wa Dada Jane ukiwa unakimbia balaa
Naomba mquote hizo nyuzi hapa ili niweze kupitia mmoja baada ya mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Konki liquid kupewa ubalozi wa kutangaza maziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana DaJane hana lolote kwa ninalolisema hapa.

Wala simtishi mtu, nachokazia ni watu kua makini, matumiz ya kondom na Kupima yazingatiwe.

Infact wahanga wakubwa wa hizi mambo ni wanawake, Trust me ,ni wanawake wengi ndio wahanga.

Sasa inshu inakuja ivi, unakuta huyo mwanamke, anawatu wawili humu wengine, nahao wawili nao wanawatu wao.

Unaweza ona hapa ,hali ilivo !!!.

Asikudanye mtu mkuu, ukiona tangazo la mtu kutafuta mtu, au tu mumePM alafu hajaweka kipengele cha kupima. Nahata mpaka unaenda kutombanaa naye haulizi habar za kupima au kondom ....

Bora uvae surual /gauni lako usepe .

Dunia yetu ni mbovu kushinda nyakat mbovu.
Asante mkuu mimi sina la zaidi ...Wacha tu Abdalah kichwa wazi wangu niendelee kumficha kwenye boxer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom