Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

Kind like stupidity, [emoji24][emoji24],yeye nani asife? Hata wewe,hujui sekunde moja ijayo utakua nani,both JPM, and Membe ni binadamu Kama sisi, doomed to extinction [emoji137]
Maziko lini na wapi ili Team Hayati tukazike?
 
Chezea Cyprian Musiba Poti wangu Wewe?
 
Huyu kafa hana kinyongo na wengi, hajaumizi halaiki, hana deni. Tofauti na lile joka kuu.
 
Acha hasira dogo!

Kufa kazikwe na huyo jasusi wako
 
Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.

Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Huyo kimong'omong'o wenu ni nani hadi nikimsema vibaya nife?
 
Tena awai mapema msibani akapange viti!!
Na alie kwa kiasi abakishe Machozi kwani idadi ya Waliotuhudhunisha Watanzania Makusudi kwa kudhamiria tarehe 17 Machi, 2021 bado haijakamilika wamebakia Watatu na Gwiji lao Kuu Kiumafia.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…