Super Charged
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 947
- 1,710
Kizur Hakidumu,Kifo Cha Magufuli Kimethibitisha Hili.
RIP Legendary
RIP Legendary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazishi lini? Kudadadeki zenu. Shikamoo Cyprian Musiba hakika hutanii Ukiamua.Sasa ni dhahiri kuwa mmekuwa wehu baada ya mungu wenu kufa 17 Machi 2021.
Maziko lini na wapi ili Team Hayati tukazike?Kind like stupidity, [emoji24][emoji24],yeye nani asife? Hata wewe,hujui sekunde moja ijayo utakua nani,both JPM, and Membe ni binadamu Kama sisi, doomed to extinction [emoji137]
Asante Mke wangu kwa kuwa Msemaji wangu wa kila mara hapa JamiiForums. Kazi nzuri.Huyo ni bumunda! Sidhani kama ana uwezo wa kukujibu kwa usahihi.
Chezea Cyprian Musiba Poti wangu Wewe?We jamaa sijui vipi kwani membe si kagonga 70 biblia ina sema mwanadamu aliezaliwa na mwanamke sikuzake duniani si nyingi zenye shida na taabu ukiishi sana 70 umejitahidi kupanda juu ya hapo ni bahati ya wachache, unaanza kufungua ma faili ya marehemu Rais Jpm ebu acheni baba wa watu apumzike na Kila nafsi itaonja mauti, inaonekana unaroho ya visasi na umefurahia msiba wa Membe nakumumbusha tu kifo kina miguu kikifika kwenu ndio utajua maumivu yake sio vizuri kushangilia mtu anapofariki, vp au mwenzetu unamkataba na maisha Israeli anakuogopa? Hii tabia mbaya sana Yani umekimbilia kufungua kiuzi kufurahia kifo Cha binadamu mwenzio.
Muuulize Nape hili swali lakowewe ambaye hukumsema utaishi milele?
Kesho huamki.Nimeshavuka pole
Kama ambavyo ya leo hukutaarifiwa basi huenda hata ya Wengine nayo ukakutana nayo katika Breaking News za nyakati tuendazo.nape lini
Acha hasira dogo!Wacha kuongea pumba zako kwan walikwambia wataishi milele
Walifurahi sababu jambazi muuwaji fisadi mtesi kafariki kwaiyo mateso na manyanyaso yako hayatokuepo tena iyo ndo ilkua furaha yao ila sula la kula kla mtu atakula na ilo kla mtu analijua
Ficha ujinga wako usitake kulazimisha kla mtu ampende uyo mjomba wako mungu mtu
Chezea Cyprian Musiba Poti wangu Wewe?
Achaa matusi,hoja hujibiwa kwa hoja!!Sasa ni dhahiri kuwa mmekuwa wehu baada ya mungu wenu kufa 17 Machi 2021.
Team Hayati Magufuli tunasema Malipo ni hapa hapa duniani. Mungu Fundi.Kwa hiyo mnatamba kwa jeuri kabisa hivi @ Nyie [emoji15][emoji57]
Tena awai mapema msibani akapange viti!!Wahi msiban
Huyo kimong'omong'o wenu ni nani hadi nikimsema vibaya nife?Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
Na alie kwa kiasi abakishe Machozi kwani idadi ya Waliotuhudhunisha Watanzania Makusudi kwa kudhamiria tarehe 17 Machi, 2021 bado haijakamilika wamebakia Watatu na Gwiji lao Kuu Kiumafia.Tena awai mapema msibani akapange viti!!
"Musiba the Concord"Mazishi lini? Kudadadeki zenu. Shikamoo Cyprian Musiba hakika hutanii Ukiamua.
Kwenye mfupa hapowewe ambaye hukumsema utaishi milele?