DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni.
Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product.
Hauwezi kuwa a good entrepreneur ukapeleka sokoni bidhaa mbili ambazo zote ni slow moving products.
That's wa a big mistake.
Mfano ukiwa unauza printer unashauriwa kuuza na wino , kwakuwa wino unanunuliwa sana kuzidi printer.
Bidhaa moja inaweza kutumika kuiuza bidhaa nyingine
Hivyo upande wa kuchagua Wagombe na mgombea mwenza walbidi wafikirie hilo mapema.
There is no third option ,