Shukrani sana mkuu ndio nimeimaliza saii!!
Ila Mage ni Hatari sana!!
Lipa namba tena 😁😁😁kwani unakula kwa mama ntilieHahahah nikupe lipa namba🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ujuha🤣🤣🤣!!!!Mnanijaza ujuha😁😁😁
Sauwasauwaaa mkuu!!👍Niliitwa na Depal 😀. Half american alikesha humu😀
hivi kule kwa mama wa kambo ulipita?
MaZiwa 800 tende tatu , yai moja na na tunda 500 nahisi kwa siku 2000 tu🤣🤣🤣🤣Lipa namba tena 😁😁😁kwani unakula kwa mama ntilie
Nipe gharama ya ftari😂😂
Nilijua anateswa na mama wa kambo kumbe ye ndo anamtesa mama wa kambo😂😂😂😂Niliitwa na Depal 😀. Half american alikesha humu😀
hivi kule kwa mama wa kambo ulipita?
Hataki fadhila za kufuturisha huyo🤣🤣🤣🤣 nishampa hesabu nasubir nimpe lipa nambaUjuha🤣🤣🤣!!!!
Kule mtoto anamtesa mama wa kambo🤣🤣🤣🤣Sauwasauwaaa mkuu!!👍
Ma wa kambo Ndio wapi huko??? Hapana nahisi sijapita naomba nielekeze nikajionee!