Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we si tajiri tena hahahaha usiwaze mie natania tuuBasi mfanyie manuvaaaaaa tajiri yangu😁😁yangu
Ila wanaume bana nilijua atakaza atoke rum akalale koridoni aiseeee😀🤣🤣🤣🤣 haha dogo ana hatari sana huyu🤣 mama wa kambo anamlilia
Ndiyo, kumbe ndo hii...Thank you dear!
Hii kauli usiiongee mbele ya Amiri, akawii kumkausha mtu kwa vitendo.Maiti wewe .
Thanks.Kumekuchaaa hukuu....
Bantu Lady Lovelovie Watching Kalpana leadermoe Santos06 kitalembwa mtzmweusi Lastmost Unforgettable Advicer mmash Mafian cartel Restless Hustler Mbobo Doctor G alubati Tyrone Kaijage huku kwetu iPhone 6 kitruuuu kishawekwa zamaneeee sanaa!
Tayukwa baby zu naona mshatia maguu kitrambo!!
Asante kwa kuniita Odo, ngoja nipitiemo!Ya motoooo
Mkuje kabla haijapoa
Cc dega binti kiziwi Shunie Dr Restart Numbisa Half american Analyse
Gily charrote Darlin
Angel Nylon Amehlo
Thank you Beautiful Shunie 😘
Hii ndio story yangu pendwa kwa sasa
Subiri akileta muendelezo uniiteSijui nikalale sijui nisubiri
😀😀😀😀sawaSubiri akileta muendelezo uniite
Namimi ndio naingia ndani nimepishana na jamaa anasikiliza kiredio.Kimoyo moyo nikajiambia Amiri acha janja janja ,nikaokota mawe.Angeyakanyaga tu.Niko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila😀
Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii😀😀😀
HahaahahNiko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila😀
Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii😀😀😀