Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Niko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila😀

Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii😀😀😀
Mkuu vipi tuliza wenge, usitumie nguvu nyingi saana..
 
Niko macho daa tisa na dakika nne usiku naona bila bila[emoji3]

Nimesikia mwizii mwizii huko nje ndani kuku wanapiga kelele hatari nikaona ngoja nitoke nje na panga langu butu labda kuna mwizi karuka fence. Hakuna mwizi upepo tu akili ikanambia Amiri anataka kunyonya kuku wamgu damu nakuja humu naona ziii[emoji3][emoji3][emoji3]
Watu hamchokiii.....

Mie huwa nazira....usiku sitaki hata kushika simu nikaangalia km imepostiwa au laaaa.....huwa nasubiri kukuche

Jana nikajiliwaza na stories za jamaa waliokutana na matukio ya kustaajabisha....at least nikatoa arosto fresh
 
Arosto zinaumiza. I am a very curious person inaninyima raha kutoona mwendelezo. Ila maisha still yanasonga. .
 
Back
Top Bottom