Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Bantu Lady Lovelovie Tayukwa leadermoe Unforgettable kitalembwa KatKit Mbobo Advicer mmash Lastmost mtzmweusi Restless Hustler mafian Carter mshaisoma hii episode???
Mambo ni motroo
 
Ya leo ndefu, uliweza kusoma?
Bado ndio nataka kuianza hapa jamani hapo umetuma ndefuu kuja kutupia tena mpaka tusahau usifanye Hivo mkuu!!

Ndio naianza hapa nitajitahidi kukomaa nayo ivoivo nikiachia Kati badae ntamalaizia kuisoma najua uzuri utakua bado haujaweka nyingine so sitakua na kiporo kikubwa !!

Asante kwa kutuburudisha na kutuelimisha mkuu barikiwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…