Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Yc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaisoma mkuu
Pita hapa boss
👇
 
Ila mbele ya safari Amir ana jambo lake..,
 
" 'Kijana' huyo, ndo' TATU ya msiba huu ...

Lakini pia kijana huyo ndiye MOJA ya vifo vitano vilivyotokea ikiwemo kifo cha kikatili cha mdogo wangu, Sarah, na vinginewe vinne kwa kila moja na kisa chake, mimi nikiwa katikati ya visa vyote hivyo.

Kijana Amiri alijua kunipakaza damu ya wenye hatia na wasohatia katika viganja vyangu. "

Nimependa namna ya msimualiji alivyo arrange story yake, naamini chapter ya mwisho itaturudisha kwenye dokezo la sehemu ya 1. Kongole kwake!
 
Thanks mkuu.
 
Nimekaa hapa kuangalia uongo upo wapi katika story hii. Unapotunga uzingatie sana vigezo vya utungaji. Yaani usidanganye sana utaniudh. Mugaka anafahamu habari yangu vizuri na moderators. So nakutahadhalisha uwe makini na utulie sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna namna fulan inamake sense,,,,
 
Nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…