Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Ahaa. Pole sana swaheeb. [emoji22]

Mungu Awape subra na Azidi Kuwatia nguvu
 
Haya nyie wenye arosto na story si niliwaambia muwe wavumilivu huenda mtoa story amepatwa na matatizo haya karudi amesema alikuwa anauguza na hatimaye msiba wa mpendwa wake, haya kiko wapi sasa kuku nyie.
 
Pole sana SteveMollel kwa msiba. Roho ya Marehemu, ilale mahala pema peponi.
 
Huu ndo mwendelezo ?
 
Pole sana mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanafiki sana, waliokuwa wanatukana ndio wameanza kutoa pole. Acheni unafiki kumbuka hamumlipi mtoa story ni shobo zenu ndio zinawafanya muwe hapa.
 
SteveMollel nimepata malalamiko toka kwa wasomaji. Kuwa umeanza kulega lega kwenye utunzi. Sipendi tuje kukosana. Hebu kaa chini tunga story leta episodes hapa. Usianze kujifunza ule upuuzi wa maugaka yeye alianza kujiona star wakati alikuwa mshamba tu. Hebu tunga hizo parts nyingine ulete hapa. Sipendi wasomaji walalamike au wajisikie vibaya. Ukishindwa kuendeleza story sema wapo watu wengi tu wanaweza endeleza.
 
Sasa wakati mnasafiri si ndo ungekuwa unatunga visa vingine? Au wewe ndo ulikuwa dereva? Mkiwa mmelala usiku kwa nini usiandike mwendelezo? Hata wakati wa kurudi Dar ungeandika visa vingi tu maana dar knjaro pana distance. Acha uvivu dogo endeleza kipaji cha utunzi watu waburudike sikukuu hizi.
 
pole sana steve
 
Pole sana Steve, Mungu ampumzishe mama pema, usiumizwe na commets za wana humu, wazoee tu wengine wana mental issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…