Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Navyopenda vya moto, kama wewe ulivyo wa moto.Ya motoooo
Mkuje kabla haijapoa
Cc dega binti kiziwi Shunie Dr Restart Numbisa Half american Analyse
Gily charrote Darlin
Angel Nylon Amehlo
Tuanze wapi basi hapa najitafunia karanga samaki na Pepsi 😁😁Kumbe mmeshaanza mfungo mkuu???😳
Samalekooo
Karanga asubuhi asubuhi yote hii mkkuu una balaa weye!! Enjoy mkuu!Tuanze wapi basi hapa najitafunia karanga samaki na Pepsi 😁😁
Mfungo kesho
Nawekeza mkuu mpaka mfungo ukiisha niwe na akiba ya kutosha na nisiwe dhaifu dhaifu.Karanga asubuhi asubuhi yote hii mkkuu una balaa weye!! Enjoy mkuu!
Inapendeza sana mkuu karanga plus mihogo ni noumaaa nanusuuuu!! Asante mkuu nakuja kulaaa hapoo Usitoke!Nawekeza mkuu mpaka mfungo ukiisha niwe na akiba ya kutosha na nisiwe dhaifu dhaifu.
Karibu karanga mkuu, mchana au jioni nitapata mihogo na tende
Ni wewe tu na mdomo wako, suala la usafiri, chakula na kunifikia nilipo hilo niachie mimiInapendeza sana mkuu karanga plus mihogo ni noumaaa nanusuuuu!! Asante mkuu nakuja kulaaa hapoo Usitoke!
Umetishaaa!!✌️✌️✌️ Chap kwa haraka natua hapo!Ni wewe tu na mdomo wako, suala la usafiri, chakula na kunifikia nilipo hilo niachie mimi
Asantee babyYa motoooo
Mkuje kabla haijapoa
Cc dega binti kiziwi Shunie Dr Restart Numbisa Half american Analyse
Gily charrote Darlin
Angel Nylon Amehlo
Bado ila anaweza akatuma kwa lipa namba au unasemajeKumbe mmeshaanza mfungo mkuu???😳
Samalekooo
Ya motoooo
Mkuje kabla haijapoa
Cc dega binti kiziwi Shunie Dr Restart Numbisa Half american Analyse
Gily charrote Darlin
Angel Nylon Amehlo
Asante sana ccy 😘Kumekuchaaa hukuu....
Bantu Lady Lovelovie Watching Kalpana leadermoe Santos06 kitalembwa mtzmweusi Lastmost Unforgettable Advicer mmash Mafian cartel Restless Hustler Mbobo Doctor G alubati Tyrone Kaijage huku kwetu iPhone 6 kitruuuu kishawekwa zamaneeee sanaa!
Tayukwa baby zu naona mshatia maguu kitrambo!!