Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

Hakuna mkubwa humu wote Mambo.

Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga.

siku hiyo nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na kitu kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima sio mdogo sana amefungwa katika papuchi jamani

Sio utani tokea mwaka ule hadi leo ni 27 sijawahi kukojoa kitandani.
Naimani watoto wa ant kama wapo humu wataelewa ninacho sema.

we umeacha kwa stail gani

hahahahaaa hii kali kuliko, dawa kumbe ndio hii subiri nianze kuwakamata vyura niweke kwenye dispensary yangu, biashara ikiwa poa utakula 10pacee
 
Hakuna mkubwa humu wote Mambo.

Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga.

siku hiyo nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na kitu kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima sio mdogo sana amefungwa katika papuchi jamani

Sio utani tokea mwaka ule hadi leo ni 27 sijawahi kukojoa kitandani.
Naimani watoto wa ant kama wapo humu wataelewa ninacho sema.

we umeacha kwa stail gani

chura alikugegeda si vinginevyo
 
Pole
 
Back
Top Bottom