martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 863
- 1,462
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli kabisa mkuu, usajili walioufanya unaonekana hauna tijaYanga Wamesajjiri Kwaajili Ya Kumfunga Simba
Yanga Imetumia Millions Zaidi Ya Mia Tatu Kupata Kikombe Cha NBC
EENGINEER Wao Ni Mjanjamjanja
Umesahau pia waache kuwapenyezea bahasha za kaki wachambuzi maandazi, kutwa kupamba yanga kwa sifa wasiokuwa nazo.Habari wakuu,
Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia...
Je umeshindwa kupata matokeo kwako, unategemea kwa mwenzako?Kwa game ya Yanga na Al Hial bado ipo 50/50 hizi timu zina uwezo sawa Al Hial wana tatizo la kuzia same to Yanga ndio maana walikoswa koswa magoli mengi same to Yanga na bahati nzuri nmeona waamuzi wapo fair kwa reference use games za Azam na Simba wamecheza away lkn waamuzi walikua fair kikubwa Yanga wakakomae wapate goli mechi bado mbichi hii
Ety anasema yanga ni kubwa!Umejua kunfurahisha siku ya leo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wanapenda kulishana upepo.Ety anasema yanga ni kubwa!
Inawezekana wala haita kua mara ya kwanza kwenye football, Al Hial wana fungika endapo Yanga watapata goli mechi itakua nzito kwaoJe umeshindwa kupata matokeo kwako, unategemea kwa mwenzako?
Furahaa yao kumfunga Simba tu bacWanasema ety tukutane tar 23, je wana akil kwel?
Mkuu namba haijawah kudanganyaKwa game ya Yanga na Al Hial bado ipo 50/50 hizi timu zina uwezo sawa Al Hial wana tatizo la kuzia same to Yanga ndio maana walikoswa koswa magoli mengi same to Yanga na bahati nzuri nmeona waamuzi wapo fair kwa reference use games za Azam na Simba wamecheza away lkn waamuzi walikua fair kikubwa Yanga wakakomae wapate goli mechi bado mbichi hii