Niliyogundua baada ya mechi za Simba na Yanga

Niliyogundua baada ya mechi za Simba na Yanga

Yanga Wamesajjiri Kwaajili Ya Kumfunga Simba
Yanga Imetumia Millions Zaidi Ya Mia Tatu Kupata Kikombe Cha NBC
EENGINEER Wao Ni Mjanjamjanja
Ni kweli kabisa mkuu, usajili walioufanya unaonekana hauna tija
 
Habari wakuu,

Kwanza kabisa naomba sote kwa pamoja tumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na uhai pamoja na hatua hii ambayo kila timu na shabiki ameifikia...
Umesahau pia waache kuwapenyezea bahasha za kaki wachambuzi maandazi, kutwa kupamba yanga kwa sifa wasiokuwa nazo.

Mara heti yanga safari hii Wana kikosi kizuri kuliko Simba, wao kutwa kuinanga Simba, uzuri wa Simba Wala haitaji kusifiwa wao wapo bize kujiimarisha.

Screenshot_20221010-195606.png
 
Kwa game ya Yanga na Al Hial bado ipo 50/50 hizi timu zina uwezo sawa Al Hial wana tatizo la kuzia same to Yanga ndio maana walikoswa koswa magoli mengi same to Yanga na bahati nzuri nmeona waamuzi wapo fair kwa reference use games za Azam na Simba wamecheza away lkn waamuzi walikua fair kikubwa Yanga wakakomae wapate goli mechi bado mbichi hii
Je umeshindwa kupata matokeo kwako, unategemea kwa mwenzako?
 
Maneno haya yote yatakuja kuisha baada ya Kuona Yanga ikosonga mbele hyo tar 16 kwenye mechi ya Marudiano..
Nitakuwa wa mwsho kukubali kuwa Yanga hii itashindwa kuingia Makundi
 
La kujifunza wao kama wao waachane na ujanja ujanja. Bahasha waachane nazo, propaganda waachane nazo, machawa na uchawi jumlisha uongo uongo.

Pia waupende ukweli wawekeze haswaa. Maswala ya kujipima na vitimu vya ulinzi shirikishi mtaani waache. Watenge fungu jema kwa ajili ya maandalizi ya msimu, wasajili wachezaji na sio kuokota walioachwa wa mafungu miundombinu iwezeshwe pia nk.
 
Je umeshindwa kupata matokeo kwako, unategemea kwa mwenzako?
Inawezekana wala haita kua mara ya kwanza kwenye football, Al Hial wana fungika endapo Yanga watapata goli mechi itakua nzito kwao
 
Wqnaweza kwa na matatizo na mapungufu Ila bado tabia za mpira zitawabeba.wana nafasi bado.msikimbiane mambo yakibadilika.
 
Kwa game ya Yanga na Al Hial bado ipo 50/50 hizi timu zina uwezo sawa Al Hial wana tatizo la kuzia same to Yanga ndio maana walikoswa koswa magoli mengi same to Yanga na bahati nzuri nmeona waamuzi wapo fair kwa reference use games za Azam na Simba wamecheza away lkn waamuzi walikua fair kikubwa Yanga wakakomae wapate goli mechi bado mbichi hii
Mkuu namba haijawah kudanganya
JamiiForums-2042422051_372x245.jpg
 
Back
Top Bottom