Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi?Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
OkeeYanayopaswa kumalizwa duniani tuyamalize hapa hapa.. Heaven hakuna Sex
Ikawe kheri kwakoNatafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Bila shaka unaongelea wanaume wanaovaa vibukta na wanawake wanaovaa visuruali vya kubanaHabari wakuu,
Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF.
Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue
Kwa upande wangu nimejifunza mambo yafuatayo:
Yangu ni hayo.
- Wanawake wote ni trouble maker (wanatabia ya kuanzisha ugomvi au matatizo ndio walivyo umbwa)
- Usiwekeze kwa mwqnamke wekeza kwa watoto wako, mwanamke yeye kawekeza hisia kwako zikiisha anaondoka muda wowote.
- Wanawake wenye sura nzuri sana na maumbo mazuri asilimia 90% hawqjaolewa
- Mwanamke mwenye breach kichwani, kimstari cha kuchonga pembeni ya kichwa (way) tattoo asilimia 90% hawajaolewa
- Single mother wa Dar na mikoani ni mbingu na ardhi.
Tuwekee hapa uliyojifunza kutoka JF ambayo unatamani kila mdau ayajue
Ahsante.
Akina cheusi mangala tupite hivi😆Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Na wanaume ni umbwa sio?🤣🤣🤣Sababu kubwa ni wanawake wote ni trouble maker
Mwenyekiti ukipata wanne nipasie wawili.Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Gafla unakua single mamaNa mwanaume pia...muda wowote anaweza kukuahidi kutokukuacha na muda huo huo akakuacha🤣🤣🤣
90% wamejeruhiwaAsilimia 99 ya dada zetu jf wana misiba moyoni
Kigezo cha weupe na urefu kimenisaliti, ila kuna kile kigezo kingine...hujakisema, sidhani kama na-fit🤣🤣🤣🤣Natafuta mpenzi, awe mweupe mrefu, umri 40-50. Alie serious kwa mahusiano serious.
Misiba moyoni🤣🤣Asilimia 99 ya dada zetu jf wana misiba moyoni
Wamepigwa na vitu vyenye ncha kali mkuu, waume wote ni mbwa...alisikika mwana jf🤣🤣🤣Misiba moyoni🤣🤣