Niliyojifunza kutoka kwa Hayati Magufuli

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Dr John Pombe Magufuli alikuwa mtu special aliyepata kuwepo katika dunia, tabia yake adhimu katika utumishi ilikuwa adimu kuwepo kwa viongozi wengi wa Kiafrika kwa sasa, Jaribu kutafuta kiongozi wa Afrika leo hii ambaye hajajilimbikizia Mali, huwezi kumpata, haikuwa hivyo kwa JPM.

Dr John Pombe Magufuli alikuwa mwamba mpya wa haki, usawa na upendo kwa wanyonge katika ukanda wa Afrika. Alikuwa kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio.

Tunamshukuru Mungu alitupatia kiongozi aliyeichukia rushwa kwa vitendo, aliyechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda na kutembea katika maneno yake,alikuwa mwana wa Afrika kweli kweli,

Ulikuwa ukimtazama kwa makini ungemuona Pan Africanist Kwame Nkrumah, George Padmore,Dr Namdi Azikiwe, Marcus Garvey, Martin Delany, Patrice Lumumba, Thomas Sankara, Nelson Mandela, Dr William Du Bois, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, Alexander Crummel, Oliver Tambo, Edward Blyden na Haile Selassie, Mwana wa Afrika kweli kweli.

Alitukumbusha mikutano ya Lancaster, na Manchester, ambapo ungeweza kusikia sauti ya Martin Luther na Malcom X katika Mikutano iliyohusu uhuru wa nchi za Afrika Mashariki na kati, ikishinikizwa na Ian Macleod, Tom Mboya na Oginga Odinga, Hayati Rais John Pombe Magufuli alitukumbusha mbali sana.

Alipoingia madarakani mnamo November,2015,Wananchi wengi walipata shauku kubwa ya kutaka kujua ataongozaje, Atatumia staili gani kufanikisha mikakati yake, huku akiendelea kukubalika kwa wananchi wake, na kama Je atakumbuka alipotoka kwa maana ya kuwakumbuka Wananchi masikini na Wanyonge. Wananchi walishuhudia Rais John Pombe Magufuli akitoa maagizo, akiwawajibisha watumishi, akitoa matamko yenye tija kwa Wananchi na kwa Taifa kwa ujumla, akishiriki shughuli, alikuwa Kiongozi bora ni aliyeijua njia, aliyeonyesha njia, na kuiishi njia. Kila kitu kilianza na yeye ndani yake kikatawala akili yake, akawapa Watanzania,alikuwa Kiongozi wa kweli alifikiria watu na sio Madaraka, alikuwa kiongozi halisi,yule aliyeishi na kutenda ukweli wa moyo wake, alikuwa Kiongozi asiye na mawaa na kulingia madaraka yake,alionyesha kuwajali Wananchi hasa wanyonge, aliwapa moyo Wananchi kuchapa kazi,alisikiliza maoni ya Wananchi,aliishi kufuata maadili ya Utumishi Umma.

Dr Magufuli alileta utamaduni mpya katika Utumishi wa Umma, Mazoea yaliondoka kila uchao,alileta shule nzuri hasa kwa vijana waliotarajia kuja kuwa Viongozi hapo baadae, tuliona Stakeholders Management Dr Magufuli alihakikisha amekuwa na stakeholders buy-in kwa asilimia kubwa,tuliona pia "Damage control" Dr Magufuli alihakikisha inafanyika uchambuzi mzuri wa hatari za maamuzi yanayochukuliwa "risk analysis/prediction" na kuja na mitigation measures in case things goes out of control kwa maana chaguo la pili la hatua za kuchukua ili kupata suluhisho la tatizo.

Mfano tuliona katika sakata la Mafao, Dr Magufuli hakubishana na wadau ila alihitisha mkutano wa wadau na kuwasikiliza na kulipatia ufumbuzi suala la Mafao,hii ni akili kubwa ambayo inapatikana kwa falsafa za "school of thoughts" kwa hakika alitengeneza awareness ya kueleweka vyema mbele ya Wananchi; that was a grand opportunity ya kuwapa imani yako Wananchi waliokuhitaji na kukupa dhamana.

Tuliona pia Communication Management,Dr Magufuli alicommunicate clearly very bold to all key stakeholders na hii iliepusha yale mawazo ambayo yako too academical,Anaeleza kwa lugha nyepesi tena kwa Umma na kwa wasaidizi wake na kusaidia kutimizwa malengo kwa urahisi na wepesi zaidi.Dr Magufuli alionyesha kwa vitendo kupambana na ufisadi, ukwepaji kodi, uzembe kazini, ufujaji fedha za umma na kubana matumizi.

-Usimamizi bora na Msimamo imara.

Taswira muhimu ambayo Dr Magufuli aliweza kuirejesha bila wasiwasi ni usimamizi thabiti wa serikali na nidhamu ya utendaji ndani ya serikali.Dr Magufuli alitenda hili kwa mafanikio makubwa kiusimamizi na alifanya jambo hilo bila kusita, katika nyadhifa nyingi alizopitia alijenga taswira ya usimamizi thabiti kila alikopita na takwimu zilimbeba siku zote.

Taswira bora nyingine ya Dr Magufuli ni misimamo katika masuala ya msingi na kutoyumba hata kidogo.Dr Magufuli muda wote ambao alikuwa kiongozi alionyesha jambo hilo. Kila mara alikuwa na misimamo thabiti, Kwa tafsiri nyingine misimamo ni njia bora ya uongozi wa Nchi,Na la msingi misimamo ya Dr Magufuli ilizingatia haki kwa wanyonge na matakwa ya wananchi,hili ni jambo jema sana.

-Mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Julius Nyerere.

Baba wa Taifa alikua na ndoto ya Muda mrefu, ya kuhakikisha serikali inahamia Dodoma, kwa kuona kwa macho yake.. Chama cha mapinduzi kilifanikiwa kuhamia makao, ikiwepo na Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma, pamoja Wizara ya Tamisemi, Ila kulikuwa na tatizo baadhi mashirika yalikua hayataki kwenda Dodoma, Ofisi za makao makuu waliendelea kujenga Dar.

Nakumbuka Katika mkutano mkuu wa kawaida wa CCM-October 1982, Mwalimu Nyerere aliendelea kuhoji "kwanini wakuu wa Taasisi wanaendelea kujenga majengo ya Ofisi zao kuu Dar, wakati sio Ofisi za bandari" Ilipofika awamu ya Tano, kupitia Rais wa JMT, Dr Magufuli, akafanya kwa dhamira ya dhati Katika utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2015/20 wa serikali yake kuhamia Dodoma..

Hapo ndio ilipotufanya tutoe pongezi sana kwa Rais wetu kipenzi cha Wanyonge wa Tanzania,Aliweka dhamira ya kweli, katika hili hajawai kumung'unya maneno, alisema Serikali inakwenda Dodoma.. na muongozo ukatolewa,Kwa hakika alikuwa mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Nyerere kwa vitendo.

-Uadilifu,Unyenyekevu na Uaminifu kwa Nchi yake.

Kwa unyenyekevu, uadilifu na Uaminifu mkubwa, Dr Magufuli alisimamia vyema manufaa ya Taifa, alirudisha nidhamu ambayo ilitoweka na kusababisha kuwepo kwa matabaka baina ya wenye kipato cha juu na wenye kipato cha chini, wale wezi wa mali ya Umma aliwatumbua majipu, hilo ni neno ambalo lilipata kuwa maarufu katika vinywa vya wengi mwanzoni mwa Uongozi wa Dr Magufuli hasa baada ya kiongozi huyo kuwafukuza kazi watendaji pale ambapo aliona mambo hayaendi sawa.

Mfano Rais Magufuli aliwaachisha kazi wakurugenzi wawili mkoani Kigoma mara tu baada ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kumkabidhi ripoti ambayo ilikuwa na matokeo mabaya katika eneo hilo.

Kwa Uzalendo uliotukuka Dr Magufuli alitengeneza sheria mpya ambayo iliangalia upya mikataba na majadiliano kuhusu madini,na makubaliano yaliendelea kwa Taifa kuweza kulipwa fidia ya ukwepaji wa kodi kwa makampuni ya madini na kupata hisa kwenye kampuni hizo zilizoundwa upya.

Na mwisho kabisa katika utwala wake mengi nimejifinza kama yafuatayo;-

1. Wajibika ipasavyo bila kujali fitina na majungu kutoka kwa watu Mfano.
2. Fanya unachokiamini siku zote sio kila mtu atakuelewa.
3.Usiamini sana watu maana hubadilika kwa nyakati.
4.Ukimnyanganya mtu tonge lake ambalo alikua apati kihalali lazima atakuchukia.
5.Tengeneza njia yako tofauti na wengine
6.Sio kila kitu kinacholetwa na wazungu ni bora,
7.Kutoa sadaka maisha yako kwa ajili ya wengine hata kama hawaoni dhamani yako kwa sasa iko siku wataiona.

Mwisho niseme Magufuli atabaki kuwa mfano mzuri katika maisha ya Watanzania.Mungu akupe pumziko la amani uko uliko.

Nikiishia hapa,
Mimi ni Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
 
Dr John Pombe Magufuli alikuwa mtu special aliyepata kuwepo katika dunia,tabia yake adhimu katika utumishi ilikuwa adimu kuwepo kwa viongozi wengi wa Kiafrika kwa sasa, Jaribu kutafuta kiongozi wa Afrika leo hii ambaye hajajilimbikizia Mali, huwezi kumpata, haikuwa hivyo kwa JPM, Dr John Pombe Magufuli alikuwa mwamba mpya wa haki, usawa na upendo kwa wanyonge katika ukanda wa Afrika. Alikuwa kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio. Tunamshukuru Mungu alitupatia kiongozi aliyeichukia rushwa kwa vitendo, aliyechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda na kutembea katika maneno yake,alikuwa mwana wa Afrika kweli kweli,

Ulikuwa ukimtazama kwa makini ungemuona Pan Africanist Kwame Nkrumah, George Padmore,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey, Martin Delany, Patrice Lumumba, Thomas Sankara, Nelson Mandela,Dr William Du Bois, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, Alexander Crummel, Oliver Tambo, Edward Blyden na Haile Selassie, Mwana wa Afrika kweli kweli, Alitukumbusha mikutano ya Lancaster, na Manchester, ambapo ungeweza kusikia sauti ya Martin Luther na Malcom X katika Mikutano iliyohusu uhuru wa nchi za Afrika Mashariki na kati, ikishinikizwa na Ian Macleod, Tom Mboya na Oginga Odinga, Hayati Rais John Pombe Magufuli alitukumbusha mbali sana.

Alipoingia madarakani mnamo November,2015,Wananchi wengi walipata shauku kubwa ya kutaka kujua ataongozaje, Atatumia staili gani kufanikisha mikakati yake, huku akiendelea kukubalika kwa wananchi wake, na kama Je atakumbuka alipotoka kwa maana ya kuwakumbuka Wananchi masikini na Wanyonge. Wananchi walishuhudia Rais John Pombe Magufuli akitoa maagizo, akiwawajibisha watumishi, akitoa matamko yenye tija kwa Wananchi na kwa Taifa kwa ujumla, akishiriki shughuli,alikuwa Kiongozi bora ni aliyeijua njia, aliyeonyesha njia, na kuiishi njia. Kila kitu kilianza na yeye ndani yake kikatawala akili yake, akawapa Watanzania,alikuwa Kiongozi wa kweli alifikiria watu na sio Madaraka, alikuwa kiongozi halisi,yule aliyeishi na kutenda ukweli wa moyo wake, alikuwa Kiongozi asiye na mawaa na kulingia madaraka yake,alionyesha kuwajali Wananchi hasa wanyonge, aliwapa moyo Wananchi kuchapa kazi,alisikiliza maoni ya Wananchi,aliishi kufuata maadili ya Utumishi Umma.

Dr Magufuli alileta utamaduni mpya katika Utumishi wa Umma, Mazoea yaliondoka kila uchao,alileta shule nzuri hasa kwa vijana waliotarajia kuja kuwa Viongozi hapo baadae,tuliona Stakeholders Management Dr Magufuli alihakikisha amekuwa na stakeholders buy-in kwa asilimia kubwa,tuliona pia "Damage control" Dr Magufuli alihakikisha inafanyika uchambuzi mzuri wa hatari za maamuzi yanayochukuliwa "risk analysis/prediction" na kuja na mitigation measures in case things goes out of control kwa maana chaguo la pili la hatua za kuchukua ili kupata suluhisho la tatizo. _Mfano tuliona katika sakata la Mafao,Dr Magufuli hakubishana na wadau ila alihitisha mkutano wa wadau na kuwasikiliza na kulipatia ufumbuzi suala la Mafao,hii ni akili kubwa ambayo inapatikana kwa falsafa za "school of thoughts" kwa hakika alitengeneza awareness ya kueleweka vyema mbele ya Wananchi; that was a grand opportunity ya kuwapa imani yako Wananchi waliokuhitaji na kukupa dhamana.

Tuliona pia Communication Management,Dr Magufuli alicommunicate clearly very bold to all key stakeholders na hii iliepusha yale mawazo ambayo yako too academical,Anaeleza kwa lugha nyepesi tena kwa Umma na kwa wasaidizi wake na kusaidia kutimizwa malengo kwa urahisi na wepesi zaidi.Dr Magufuli alionyesha kwa vitendo kupambana na ufisadi, ukwepaji kodi, uzembe kazini, ufujaji fedha za umma na kubana matumizi.

-Usimamizi bora na Msimamo imara.

Taswira muhimu ambayo Dr Magufuli aliweza kuirejesha bila wasiwasi ni usimamizi thabiti wa serikali na nidhamu ya utendaji ndani ya serikali.Dr Magufuli alitenda hili kwa mafanikio makubwa kiusimamizi na alifanya jambo hilo bila kusita,Katika nyadhifa nyingi alizopitia alijenga taswira ya usimamizi thabiti kila alikopita na takwimu zilimbeba siku zote.Taswira bora nyingine ya Dr Magufuli ni misimamo katika masuala ya msingi na kutoyumba hata kidogo.Dr Magufuli muda wote ambao alikuwa kiongozi alionyesha jambo hilo. Kila mara alikuwa na misimamo thabiti, Kwa tafsiri nyingine misimamo ni njia bora ya uongozi wa Nchi,Na la msingi misimamo ya Dr Magufuli ilizingatia haki kwa wanyonge na matakwa ya wananchi,hili ni jambo jema sana.

-Mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Julius Nyerere.

Baba wa Taifa alikua na ndoto ya Muda mrefu, ya kuhakikisha serikali inahamia Dodoma, kwa kuona kwa macho yake.. Chama cha mapinduzi kilifanikiwa kuhamia makao, ikiwepo na Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma, pamoja Wizara ya Tamisemi,Ila kulikua na tatizo baadhi mashirika yalikua hayataki kwenda Dodoma, Ofisi za makao makuu waliendelea kujenga Dar, nakumbuka Katika mkutano mkuu wa kawaida wa CCM-October 1982, Mwalimu Nyerere aliendelea kuhoji "kwanini wakuu wa Taasisi wanaendelea kujenga majengo ya Ofisi zao kuu Dar, wakati sio Ofisi za bandari" Ilipofika awamu ya Tano, kupitia Rais wa JMT, Dr Magufuli, akafanya kwa dhamira ya dhati Katika utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2015/20 wa serikali yake kuhamia Dodoma..

Hapo ndio ilipotufanya tutoe pongezi sana kwa Rais wetu kipenzi cha Wanyonge wa Tanzania,Aliweka dhamira ya kweli, katika hili hajawai kumung'unya maneno, alisema Serikali inakwenda Dodoma.. na muongozo ukatolewa,Kwa hakika alikuwa mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Nyerere kwa vitendo.

-Uadilifu,Unyenyekevu na Uaminifu kwa Nchi yake.

Kwa unyenyekevu,Uadilifu na Uaminifu mkubwa,Dr Magufuli alisimamia vyema manufaa ya Taifa,Alirudisha nidhamu ambayo ilitoweka na kusababisha kuwepo kwa matabaka baina ya wenye kipato cha juu na wenye kipato cha chini,wale wezi wa mali ya Umma aliwatumbua majipu,hilo ni neno ambalo lilipata kuwa maarufu katika vinywa vya wengi mwanzoni mwa Uongozi wa Dr Magufuli hasa baada ya kiongozi huyo kuwafukuza kazi watendaji pale ambapo aliona mambo hayaendi sawa.

Mfano Rais Magufuli aliwaachisha kazi wakurugenzi wawili mkoani Kigoma mara tu baada ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kumkabidhi ripoti ambayo ilikuwa na matokeo mabaya katika eneo hilo.

Kwa Uzalendo uliotukuka Dr Magufuli alitengeneza sheria mpya ambayo iliangalia upya mikataba na majadiliano kuhusu madini,na makubaliano yaliendelea kwa Taifa kuweza kulipwa fidia ya ukwepaji wa kodi kwa makampuni ya madini na kupata hisa kwenye kampuni hizo zilizoundwa upya.

Na mwisho kabisa katika utwala wake mengi nimejifinza kama yafuatayo;-

1. Wajibika ipasavyo bila kujali fitina na majungu kutoka kwa watu Mfano.
2. Fanya unachokiamini siku zote sio kila mtu atakuelewa.
3.Usiamini sana watu maana hubadilika kwa nyakati.
4.Ukimnyanganya mtu tonge lake ambalo alikua apati kihalali lazima atakuchukia.
5.Tengeneza njia yako tofauti na wengine
6.Sio kila kitu kinacholetwa na wazungu ni bora,
7.Kutoa sadaka maisha yako kwa ajili ya wengine hata kama hawaoni dhamani yako kwa sasa iko siku wataiona.

Mwisho niseme Magufuli atabaki kuwa mfano mzuri katika maisha ya Watanzania.Mungu akupe pumziko la amani uko uliko.

Nikiishia hapa,
Mimi ni Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Aliua kina Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na wengineyo ambao ni masikini watupu. Akampiga Lissu risasi 40 kama anaua chatu bila kosa.

Akaishia kusema kwa mdomo tu kuhusu kina Kikwete, Singasinga, Angela Kizigha, na Lugumi.

Alijifanya anakemea rushwa, akaishia kutajirisha kina Bashite, Alexander Mnyeti.

Mwisho wa siku Wahuni kina Kikwete wakamtumia BASHITE akampa SUMU, akakata moto, sasa hivi wanalilea libashite kwa mabilioni ya Wizi na vyeo.

Alikuwa boyaaaa
 
Aliua kina Ben Saanane, Azory Hwanda, Kanguye ambao ni masikini watupu. Akampiga Lissu risasi 40 kama anaua chatu bila kosa.

Akaishia kusema kwa mdomo tu kuhusu kina Kikwete, Singasinga, Angela Kizigha, na Lugumi.

Alijifanya anakemea rushwa, akaishia kutajirisha kina Bashite, Alexander Mnyeti.

Mwisho wa siku Wahuni kina Kikwete wakamtumia BASHITE akampa SUMU, akakata moto, sasa hivi wanalilea libashite kwa mabilioni ya Wizi na vyeo.

Alikuwa boyaaaa
Magufuli alikuwa muuaji na fisadi kama walivyo wengine hakuwa na uspecial wowote
 
Tena huyu atakumbukwa kwa kuharibu Nchi. Wajinga wachache kama wewe ndio hamuoni kama Magufuli na CCM yake ndiyo wameifikisha nchi pabaya sana
 
Magufuli alitengeneza playbook ya
  • utekaji kwa ambako wako kinyume nae kifikra
  • kuiba uchaguzi kwa asilimia 100 bila hata kuwa na tone la aibu,
  • kuingilia mahakama waziwazi,
  • kuua uhuru wa vyombo vya habari anakuwaje special
Huyu mtu anakuaje special Magufuli alifanya mambo yote yawe revolve around him na hakuipenda nchi ndo maana hayupo hali ya nchi sio nzuri
 
MATATIZO YA MAGUFULI.
1. kuteka watu.
2.kuua watu kwa kisasi.
3. Kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari.
4. Kubambikiza watu kesi.
5. Ubaguzi wa vyama.
6. Alipola uchaguzi wa 2020.
7. Ropo ropo.
8. Mshamba sana.
9. Muuaji katili sana na Asiye na huruma
10. Mnafiki. Na Dikteta Uchwara
11. Anachezea fedha za walipakodi.
Kununua viongozi wa upinzani

12. Mjuaji wa yote na asiyependa ushauri
Kosa kubwa sana alilolifanya alidanganywa sana na wana mtandao kuambiwa aiue Chadema.
 
Mbona kama ni sifa za mama yako hizi
 
Dr John Pombe Magufuli alikuwa mtu special aliyepata kuwepo katika dunia, tabia yake adhimu katika utumishi ilikuwa adimu kuwepo kwa viongozi wengi wa Kiafrika kwa sasa, Jaribu kutafuta kiongozi wa Afrika leo hii ambaye hajajilimbikizia Mali, huwezi kumpata, haikuwa hivyo kwa JPM.

Dr John Pombe Magufuli alikuwa mwamba mpya wa haki, usawa na upendo kwa wanyonge katika ukanda wa Afrika. Alikuwa kiongozi tuliyemtaka karne nyingi bila mafanikio.

Tunamshukuru Mungu alitupatia kiongozi aliyeichukia rushwa kwa vitendo, aliyechukia uzembe kwa vitendo, anayeenenda na kutembea katika maneno yake,alikuwa mwana wa Afrika kweli kweli,

Ulikuwa ukimtazama kwa makini ungemuona Pan Africanist Kwame Nkrumah, George Padmore,Dr Namdi Azikiwe, Marcus Garvey, Martin Delany, Patrice Lumumba, Thomas Sankara, Nelson Mandela, Dr William Du Bois, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, Alexander Crummel, Oliver Tambo, Edward Blyden na Haile Selassie, Mwana wa Afrika kweli kweli.

Alitukumbusha mikutano ya Lancaster, na Manchester, ambapo ungeweza kusikia sauti ya Martin Luther na Malcom X katika Mikutano iliyohusu uhuru wa nchi za Afrika Mashariki na kati, ikishinikizwa na Ian Macleod, Tom Mboya na Oginga Odinga, Hayati Rais John Pombe Magufuli alitukumbusha mbali sana.

Alipoingia madarakani mnamo November,2015,Wananchi wengi walipata shauku kubwa ya kutaka kujua ataongozaje, Atatumia staili gani kufanikisha mikakati yake, huku akiendelea kukubalika kwa wananchi wake, na kama Je atakumbuka alipotoka kwa maana ya kuwakumbuka Wananchi masikini na Wanyonge. Wananchi walishuhudia Rais John Pombe Magufuli akitoa maagizo, akiwawajibisha watumishi, akitoa matamko yenye tija kwa Wananchi na kwa Taifa kwa ujumla, akishiriki shughuli, alikuwa Kiongozi bora ni aliyeijua njia, aliyeonyesha njia, na kuiishi njia. Kila kitu kilianza na yeye ndani yake kikatawala akili yake, akawapa Watanzania,alikuwa Kiongozi wa kweli alifikiria watu na sio Madaraka, alikuwa kiongozi halisi,yule aliyeishi na kutenda ukweli wa moyo wake, alikuwa Kiongozi asiye na mawaa na kulingia madaraka yake,alionyesha kuwajali Wananchi hasa wanyonge, aliwapa moyo Wananchi kuchapa kazi,alisikiliza maoni ya Wananchi,aliishi kufuata maadili ya Utumishi Umma.

Dr Magufuli alileta utamaduni mpya katika Utumishi wa Umma, Mazoea yaliondoka kila uchao,alileta shule nzuri hasa kwa vijana waliotarajia kuja kuwa Viongozi hapo baadae, tuliona Stakeholders Management Dr Magufuli alihakikisha amekuwa na stakeholders buy-in kwa asilimia kubwa,tuliona pia "Damage control" Dr Magufuli alihakikisha inafanyika uchambuzi mzuri wa hatari za maamuzi yanayochukuliwa "risk analysis/prediction" na kuja na mitigation measures in case things goes out of control kwa maana chaguo la pili la hatua za kuchukua ili kupata suluhisho la tatizo.

Mfano tuliona katika sakata la Mafao, Dr Magufuli hakubishana na wadau ila alihitisha mkutano wa wadau na kuwasikiliza na kulipatia ufumbuzi suala la Mafao,hii ni akili kubwa ambayo inapatikana kwa falsafa za "school of thoughts" kwa hakika alitengeneza awareness ya kueleweka vyema mbele ya Wananchi; that was a grand opportunity ya kuwapa imani yako Wananchi waliokuhitaji na kukupa dhamana.

Tuliona pia Communication Management,Dr Magufuli alicommunicate clearly very bold to all key stakeholders na hii iliepusha yale mawazo ambayo yako too academical,Anaeleza kwa lugha nyepesi tena kwa Umma na kwa wasaidizi wake na kusaidia kutimizwa malengo kwa urahisi na wepesi zaidi.Dr Magufuli alionyesha kwa vitendo kupambana na ufisadi, ukwepaji kodi, uzembe kazini, ufujaji fedha za umma na kubana matumizi.

-Usimamizi bora na Msimamo imara.

Taswira muhimu ambayo Dr Magufuli aliweza kuirejesha bila wasiwasi ni usimamizi thabiti wa serikali na nidhamu ya utendaji ndani ya serikali.Dr Magufuli alitenda hili kwa mafanikio makubwa kiusimamizi na alifanya jambo hilo bila kusita, katika nyadhifa nyingi alizopitia alijenga taswira ya usimamizi thabiti kila alikopita na takwimu zilimbeba siku zote.

Taswira bora nyingine ya Dr Magufuli ni misimamo katika masuala ya msingi na kutoyumba hata kidogo.Dr Magufuli muda wote ambao alikuwa kiongozi alionyesha jambo hilo. Kila mara alikuwa na misimamo thabiti, Kwa tafsiri nyingine misimamo ni njia bora ya uongozi wa Nchi,Na la msingi misimamo ya Dr Magufuli ilizingatia haki kwa wanyonge na matakwa ya wananchi,hili ni jambo jema sana.

-Mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Julius Nyerere.

Baba wa Taifa alikua na ndoto ya Muda mrefu, ya kuhakikisha serikali inahamia Dodoma, kwa kuona kwa macho yake.. Chama cha mapinduzi kilifanikiwa kuhamia makao, ikiwepo na Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma, pamoja Wizara ya Tamisemi, Ila kulikuwa na tatizo baadhi mashirika yalikua hayataki kwenda Dodoma, Ofisi za makao makuu waliendelea kujenga Dar.

Nakumbuka Katika mkutano mkuu wa kawaida wa CCM-October 1982, Mwalimu Nyerere aliendelea kuhoji "kwanini wakuu wa Taasisi wanaendelea kujenga majengo ya Ofisi zao kuu Dar, wakati sio Ofisi za bandari" Ilipofika awamu ya Tano, kupitia Rais wa JMT, Dr Magufuli, akafanya kwa dhamira ya dhati Katika utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM 2015/20 wa serikali yake kuhamia Dodoma..

Hapo ndio ilipotufanya tutoe pongezi sana kwa Rais wetu kipenzi cha Wanyonge wa Tanzania,Aliweka dhamira ya kweli, katika hili hajawai kumung'unya maneno, alisema Serikali inakwenda Dodoma.. na muongozo ukatolewa,Kwa hakika alikuwa mwanafunzi wa kweli wa Mwalimu Nyerere kwa vitendo.

-Uadilifu,Unyenyekevu na Uaminifu kwa Nchi yake.

Kwa unyenyekevu, uadilifu na Uaminifu mkubwa, Dr Magufuli alisimamia vyema manufaa ya Taifa, alirudisha nidhamu ambayo ilitoweka na kusababisha kuwepo kwa matabaka baina ya wenye kipato cha juu na wenye kipato cha chini, wale wezi wa mali ya Umma aliwatumbua majipu, hilo ni neno ambalo lilipata kuwa maarufu katika vinywa vya wengi mwanzoni mwa Uongozi wa Dr Magufuli hasa baada ya kiongozi huyo kuwafukuza kazi watendaji pale ambapo aliona mambo hayaendi sawa.

Mfano Rais Magufuli aliwaachisha kazi wakurugenzi wawili mkoani Kigoma mara tu baada ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kumkabidhi ripoti ambayo ilikuwa na matokeo mabaya katika eneo hilo.

Kwa Uzalendo uliotukuka Dr Magufuli alitengeneza sheria mpya ambayo iliangalia upya mikataba na majadiliano kuhusu madini,na makubaliano yaliendelea kwa Taifa kuweza kulipwa fidia ya ukwepaji wa kodi kwa makampuni ya madini na kupata hisa kwenye kampuni hizo zilizoundwa upya.

Na mwisho kabisa katika utwala wake mengi nimejifinza kama yafuatayo;-

1. Wajibika ipasavyo bila kujali fitina na majungu kutoka kwa watu Mfano.
2. Fanya unachokiamini siku zote sio kila mtu atakuelewa.
3.Usiamini sana watu maana hubadilika kwa nyakati.
4.Ukimnyanganya mtu tonge lake ambalo alikua apati kihalali lazima atakuchukia.
5.Tengeneza njia yako tofauti na wengine
6.Sio kila kitu kinacholetwa na wazungu ni bora,
7.Kutoa sadaka maisha yako kwa ajili ya wengine hata kama hawaoni dhamani yako kwa sasa iko siku wataiona.

Mwisho niseme Magufuli atabaki kuwa mfano mzuri katika maisha ya Watanzania.Mungu akupe pumziko la amani uko uliko.

Nikiishia hapa,
Mimi ni Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of business administration in International business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.
Wajinga wanamuabudu Magufuli na walikuwa wanamuita mungu. Magufuli ni shujaa wa wajinga tu wanaokubalj kujiita wanyonge. Yule muuaji alitumia UWONGO kuwa brainwash lakini alikuwa mwizi pia na MKATILI. Muache aendelee kuungua na moto wa jehanam

Acha kumsafisha mtu aliyetufikisha hapa kwa kutofuata katiba, kusimamisha shughuli za vyama, kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari, kuanzisha utekaji na uuaji ma machafu yote.
 
Huyu tutengeneze noti mpya kwa ajili yake

Tukusanye noti kumi au tano tunaweka na kipara chake pale

Mtu akiwa na Magu noti aheshimike

Hawa mbwa wanatudhalilisha sana Duniani
 
Kama unamuabudu, hamia Chato uwe unaliona kaburi lake kila siku. Au waombe familia wakuruhusu uwe unaishi kwenye ile nyumba ya kaburi
 
Dr John Pombe Magufuli alikuwa mtu special aliyepata kuwepo katika dunia, tabia yake adhimu katika utumishi ilikuwa adimu kuwepo kwa viongozi wengi wa Kiafrika kwa sasa, Jaribu kutafuta kiongozi wa Afrika leo hii ambaye hajajilimbikizia Mali, huwezi kumpata, haikuwa hivyo kwa JPM.

Mwisho niseme Magufuli atabaki kuwa mfano mzuri katika maisha ya Watanzania.Mungu akupe pumziko la amani uko uliko.

Nikiishia hapa,
Mimi ni Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
Thanks for this
P
 
Back
Top Bottom