Niliyojifunza kutoka kwa Hayati Magufuli

kaa kimya kama humjui alie mpga risas risu.
nasio kuhukumu wengne.

Aliyempga risas risu mpaka sasa yupo anakula ugari.
 
inawezekana ninyi mpo kweny list ya wale alowatumbua magufuri kipind cha uongoz wake.
 
We Fala yule msukuma alikuwa mtu na nusu Maku yako
Haya mauchafu yote hayakuwako kabla ya huyo Magufuli mnayemuabudu. Demokrasia ilikuwa na Vyombo vya habari vilikuwa huru. Pia Mahakama ziliamua bila kutishiwa.

Ila nyie misukule mnaomuabudu mnamuona alikuwa wa maana. Eti mtu na nusu, angekuwa mtu na nusu si angekuwa hai. Pumbavu
 
BINAFSI SIJASIKIA HATA NENO MOJA EBU ONGEZA SAUTI JAPO KIDOGO TU NISKIE KWA MBALI JAPOO KIDOGOOπŸ™πŸ’₯πŸ’₯
 
JPM AISHI POPOTE ALIPO.

TRA na NIDA walinitesa ila baada ya kuingia JPM nilikuwa huru mnoo. 2days
 
Braza Pascal Mayalla
 
Tunamshukuru Mungu kwa Zawadi ya Maisha ya JPM πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…