Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
HaijafikaNimeku pm picha
Hii ya kupaua kweli stage ngumu maana mihela inahitajika kwa mkupuoHata kupaua, Ina hitaji uwe na hela za mkupuo
Hizi story sasa jamani tiles m20 wakati mie ata million 2 sijawahi ishika jamaniNimeweka tiles za spain, uliza bei zake ndio utajua mziki wake.
Wee huo uwanja wa mpiraπ€£π€£π€£π€£π€£Sebule ina 30. Sm
Mh 5*6 nao ni uwanja? Nina 4*8 sitting imeungana na dining room.Wee huo uwanja wa mpiraπ€£π€£π€£π€£π€£
Duh! Basi wako ni uwanja wa nou campπ€£π€£π€£ hapo sii zinapigwa rondo na watoto wako kabisaπ€£π€£π€£π€£Mh 5*6 nao ni uwanja? Nina 4*8 sitting imeungana na dining room.
Mimi dining ni kubwaa pia.Duh! Basi wako ni uwanja wa nou campπ€£π€£π€£ hapo sii zinapigwa rondo na watoto wako kabisaπ€£π€£π€£π€£
32sqm ni ndogo sana.Duh! Basi wako ni uwanja wa nou campπ€£π€£π€£ hapo sii zinapigwa rondo na watoto wako kabisaπ€£π€£π€£π€£
Mna fyatua watoto wengi nini. Sebule kubwa lote la niniMimi dining ni kubwaa pia.
Ah wee sittingroom ya 5 kwa 5 mbona inatosha kabisa kujinafasi32sqm ni ndogo sana.
Wala , ni maamuzi tuMna fyatua watoto wengi nini. Sebule kubwa lote la nini
5*5 si masterbedroom iliochangamka?!! ππAh wee sittingroom ya 5 kwa 5 mbona inatosha kabisa kujinafasi
Aise watu mnajenga kweli kweli.5*5 si masterbedroom iliochangamka?!! ππ
Sawa mrembo naona u ataka kujinafasi vizuri. Masterbedromm sasa huko sii ndio itakuwa balaaa, hadi kitanda cha mneso kitakuwepoWala , ni maamuzi tu
Kuliko lile ghorofa lako?!Aise watu mnajenga kweli kweli.
Hahaha. Yaani kitanda kipo katikati, upepo wa kutosha.Sawa mrembo naona u ataka kujinafasi vizuri. Masterbedromm sasa huko sii ndio itakuwa balaaa, hadi kitanda cha mneso kitakuwepo