Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

Kwenye mfumo wa maji na Umeme umeongea kweli
Plumbing material ni ghali unaweza hata kukata tamaaa
 
Mwisho wa siku ukipigiwa Hesabu unaambiwa HII NYUMBA UMEJENGA KWA MILIONI 60 unakua hauamini, maana ni Hela ambayo hujawahi hata kuifikiria
 
Kama wazazi wako waliteseka sio lazima na wewe uteseke ..
Ila Kuna watu hawajateseka kweli

Imagine mtu kajengewa kafunguliwa na hardware ni kula pesa tu huku watu wengine wako wakajunua tofali moja moja ukimaliza unakufa
 
Back
Top Bottom