Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na magunia 3

Nikaanza kuingia mtaani kusaka wateja unaenda anakumbia kaniletee MI najikaza narudi naenda beba namletea dah debe limejaa Adi kumwagika jamaa anasema bado tena anazinyambua kama mawe dah iliniuma Sana na anakuambia kama hujazi silipi inakubidi uende tena ukalete zingine uje kujazia khaa! Hapo na maneno ya ajabu utahisi anaongea na mtoto wake

Mteja mwingine anakuja kununua anataka nichague hataki zisizokomaa yani nikawaza huyu jamaa angejua ugumu wa kulima huyu!..

Mwingine nikajichanganya kumuachia debe mbili 1 alilipa 1 akasema Adi badae dah naenda badae namkuta binti yake eti yeye amesafiri atarudi Kesho nilichoka Sana nikawaza aisee mbona hali huku mtaani iko hivi?

Kuna umuhimu wa kuajiriwa tuheshimiane Sasa!

Sasa kwenye hiyo biashara mbona sijaona application ya vyeti? Hiyo ni biashara tu na si kumba wanakunyanyasa heti kwa sababu wana dhani ujasoma.
 
Pole sana...

Siku zote mwanzo ni mgumu...

Hata hao watakaokuajiri nao walianza kama wewe, lakini hawakukata tamaa mpaka leo hii unaona wanaajiri wengine...

Hata serikali yako, kabla ya leo walipambana na wakoloni mpaka kufikia hapa...


Cc: mahondaw
 
What is vyeti msee, vitu ambavyo hwezi kuviweka hata dhamana ya mkopo benk, katika matibab/katika Huduma yyote ile!, fanya yako tu jamaa achana nao, dharau zipo tu hata huko maofisn unakokuwaza.
 
Being educated means, Ones ability to see challenges and turn them into opportunities.
I'm so skeptical about your level of Education brother.
That was a simple challenge that you could have turn it into opportunity for the betterment of yourself and others.
 
pole sana.
kuna mwingine alikuwa anauza Icecream siku alipodhalilishwa na wauza icecream wenzake ambao ni darasa la saba wengine hawajasoma. Alipanic akaanza kutukana kizungu, alafa akaita wanafunzi akagawa bure icecream zote kwa kususa. Watoto wanafurahi tu kumbe muuza icecream anajua kizungu.
Dada wa watu alikuwa ni Graduate mwalimu aliyejichanganya na wananzengo kwenye bizness akaacha kabsa kwa hasira.
Uvumilivu muhimu mkuu, maisha yanahitaji unyenyekevu tu na akili ya kipambana na watu kama hao, hapo vyeti havina nafasi maana haviliwi.
Kama umesoma na unafanya kazi za kawaida sio mbaya, unapambana.Katika hayo mapambano huwa tunakosea kukubali kufanana na majamaa ambao hawana busara na hawajagusa shule Kwa mfano unakuta mtu anasema uongo dhahiri na anataka kukushirikisha kizembe mathalan anasema "Dola ya marekani ina thamank kuliko yetu kwa sababu imeandikwa In God We Trust, na sisi tukiandika yetu "Yesu Ni Njia" itapata thamani.

Kama umesoma uchumi inabidi uwaelekeze thamani ya pesa kushuka inakuwaje kwa kifupi kisha waache.
Over time watakuheshimu japo mnafanya mishe zinafanana.

Jamaa katika biashara yake ya karanga alichanganya kumjali mteja na kumtii mteja.Yule wa debe mbili ungempa 1 tu kama hataki basi, na yule wa kuchambua ungemwambia kama zichambuliwa anavyotaka maana yake umezi grade na ume add value unampa somo kuwa bei itaongezeka hataki basi, lakini atakuwa kajifunza somo la ku add value, next time ataku respect.
 
Genius is when what is in the head is brought into reality.. there is no any other definition.

Kama umesoma sana na unachofanya hakionekani, hata mimi nitakudharau tu mkuu, wanachofeli kutufundisha huko mavyuoni ni kuhandle rejection, umedharauliwa mara moja tu umeanza kukata tamaa, you need to go like that a hundred times ndio utoke mkuu, simple, but not easy.
Ujumbe kuntu
 
Back
Top Bottom