Uchaguzi 2020 Niliyoyagundua Siku 8 za kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 Niliyoyagundua Siku 8 za kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Mkuu Chadema imekufa siku hizi wanafanya kampeni sokon na stend ili kupata watu
Mke wangu Bia yetu unazidi kujivua nguo! Furajisha na sokoni wapi na wapi? Lubaga Joshoni na sokoni wapi na wapi?
 
Sasa Kampeni za Mwaka huu nazo kampeni!!
watu wana tekeleza wajibu tu
Magufuli ndio Rais mpaka 2025
Hakuna Chama chakumuondoa au Mgombea wote wepesi kama Nyoa la kifaranga cha kanga

Magufuli sio rais kaa maana ya ushindani, bali anachotambia ni madaraka yake.
 
Back
Top Bottom