Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,198 Reaction score 3,580 Sep 3, 2020 Thread starter #21 911sep11 said: Uchambuzi mzuri tathmini nzuri Click to expand... bravo
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Sep 3, 2020 #22 Bia yetu said: Mkuu Chadema imekufa siku hizi wanafanya kampeni sokon na stend ili kupata watu Click to expand... Mke wangu Bia yetu unazidi kujivua nguo! Furajisha na sokoni wapi na wapi? Lubaga Joshoni na sokoni wapi na wapi?
Bia yetu said: Mkuu Chadema imekufa siku hizi wanafanya kampeni sokon na stend ili kupata watu Click to expand... Mke wangu Bia yetu unazidi kujivua nguo! Furajisha na sokoni wapi na wapi? Lubaga Joshoni na sokoni wapi na wapi?
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Sep 3, 2020 #23 MOTOCHINI said: Sasa Kampeni za Mwaka huu nazo kampeni!! watu wana tekeleza wajibu tu Magufuli ndio Rais mpaka 2025 Hakuna Chama chakumuondoa au Mgombea wote wepesi kama Nyoa la kifaranga cha kanga Click to expand... Magufuli sio rais kaa maana ya ushindani, bali anachotambia ni madaraka yake.
MOTOCHINI said: Sasa Kampeni za Mwaka huu nazo kampeni!! watu wana tekeleza wajibu tu Magufuli ndio Rais mpaka 2025 Hakuna Chama chakumuondoa au Mgombea wote wepesi kama Nyoa la kifaranga cha kanga Click to expand... Magufuli sio rais kaa maana ya ushindani, bali anachotambia ni madaraka yake.