Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

Hata Magari ya kijapani yanayouzwa ulaya ndugu yangu yapo vile. Hivyo ukihitaji VX iliyosimama agiza brand ya UK hutajuta ingawa bei kidogo
 
Kwasababu Spares za Toyota zipo kuanzia used mpaka feki.

Ila ukitaka bei ya spare mpya kabisa na genuine, bei yake ni almost sawa na hizo za Ujerumani.
Upo sahihi kabisa, mfano hizo break pads kwa Toyota harrier Og bei haipishani sana
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
 
Hapo kwa airbags mzee unajidanganya kama unaendesha speed 200 alafu upate ajali airbag haina faida yoyote
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
Hahahahah mkuu bora umeongea uhalisia 🤣🤣🤣 jamaa anaongea ikiwa gari haijapigwa hata na Masika moja toka aitoe bandarini.
 
European car ni mazuri Kwa kuleta heshima mtaani na Safari ndefu lakini kama hela yako ni ya kuungaunga utaanza kuuza mashamba kwajili ya kuhudumia gari
Hahahaha wa kuskia ataskia ila kenge atasubiri kutoka damu za masikio na kufanywa shamba darasa. 😂😂😂

Raha ye mjerumani ni pale ikihitaji specialist wa mfumo esp. umeme! Au ikifa a very complicated sensor.
 
TATIZO wabongo wengi ni waoga(nikiwemo na Mimi) ndiyo maana tunakimbilia Kwenye matoyota Kwasabb kuna spare parts za bei rahisi(fake) na spare used pale mitaa ya shaurimoyo Kariakoo
Hahahahah tatizo sio spare ila tatizo ni mafundi ni wengi mpaka wa chini ya miembe wanazielewa Toyota kirahisi na vipuri viko universal.

Huwezi kupaki Toyota ati kisa hamna spares!
 
Mmiliki wa zamani wa vw Touran hapa,kaa nayo hata mwaka hivi ndio uje kupost tena hapa chief. Mimi ilinipa msiba mkubwa sana japo gari ilikua kali sana ,sunroof,8 airbags nk Ila dashboard ilikua inawaka taa kama mti wa Christmas.
VW si gari ya kukimbilia.inachachuka anytime. Na haliuziki kirahisi. Hapo lilizingua safarini xmass
 
Attachments

  • IMG20201010092819.jpg
    252.3 KB · Views: 116
Mjomba subiria hata Masika moja ipite kwanza. Gari haina hata mwaka unasema hujaona issues zaidi ya brake pads zilizoisha? 😂

Kiboko ya mjerumani ni mvua na madimbwi tu, utakuja kusimulia humu.
 
TATIZO wabongo wengi ni waoga(nikiwemo na Mimi) ndiyo maana tunakimbilia Kwenye matoyota Kwasabb kuna spare parts za bei rahisi(fake) na spare used pale mitaa ya shaurimoyo Kariakoo
Mkuu kwanini uwe muoga wakati gari za kijerumani zinauzwa bei chee kuliko hata Toyota of the same years.

Nunua bana next time agiza used bmw kabisa ambayo ni kali sana kuliko Toyota interms of comfort na mbwembwe nyengine. Bado tunahitaji kujifunza kupitia mifano hai.

Naamini utakuwa balozi mzuri sana chief😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…