dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.
Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.