Niliyoyaona huku meatu

Niliyoyaona huku meatu

Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.


Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.

Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.

Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.
wewe ni mshamba kweli kweli, usafiri wa baiskeli ni mikoa karibu yote tz.
Majuzi juzi eneo la bahari beach kule Kunduchi usafiri huu ulikuwa unatumika, Arusha pale Mount Meru hotel, Sanawari nk, Tabora, Shinyanga, Mwanza nk
 
wewe ni mshamba kweli kweli, usafiri wa baiskeli ni mikoa karibu yote tz.
Majuzi juzi eneo la bahari beach kule Kunduchi usafiri huu ulikuwa unatumika, Arusha pale Mount Meru hotel, Sanawari nk, Tabora, Shinyanga, Mwanza nk
Sasa matusi ya nini?, toa fact tu sepa mbele, afu unasema '' ulikuwa" long time
 
CRDB au atasema ya wakulima!View attachment 861577
NMB atasema ya waalimu
View attachment 861578
kuna Azania au ndio ya waendesha Baiskeli, lakini hata China wapo hawa!😎😎
View attachment 861579

Ooh nimesahau Mama Samia ana mtaa wake pia umeandikwa kizungu kwa waongea Kisukuma tupu (sijui wataelewa kilichoandikwa au ndio watapoteana).
View attachment 861580

Bebe kuna washamba wengi jijini na huko mijini kwingine wapo!. Hapo bado shule sijazilist!.
Kwa msaada wa Google
Babe hiyo crdb ndio iliyofunguliwa juzi juzi eenh
 
Kweli rafiki mmekaa usukumani,nimeolewa huko,nawajua vzr na ushamba ndo asili yao!!![emoji2] [emoji2]
Yaani hao jamaa na baskeli ni kama kofia na kichwa...

Ni asili yao kabisa ila kwa sasa wamesoma soma na imani watajitahidi kwenda na wakati [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom