Ni kawaida huko kwa sisi wasukumaHakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.
Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] itilima!!!Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.
Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.
Wasukuima na maendeleo ni vitu viwili tofauti. Hamieni Morogoro kuna neema!! Mje kutubebea mapakacha ya mboga.Wewe ni muongo flan hv ameizing!
Maswa kuna lami ambayo inaanzia mwigumbi to bariadi. Bariadi kuna lami muda mrefu tofauti na maswa na lami ya bariadi inatokea lamadi.
Kwenye maendeleo kwa kweli maswa ndo iko nyuma naweza sema,,,bariadi kwa mkoa wa Simiyu ndo wanaongoza kwa maendeleo hasa kibiashara. Meatu nao hawako nyuma sana japokuwa bado
Tatizo la Mkoa wa Simiyu ,zamani watu waliachwa wakate miti hovyo hivyo kusababisha dalili za jangwa lkn chini ya jemedari Mkuu wa Mkoa Mtaka hakika SIMIYU Itakuwa juu
Bila kusahau...tuna viwanda mbalimbali katika Mkoa ,km vile kiwanda cha ngozi, kiwanda cha chalks, kiwanda cha kuchakata maziwa.
Kila jambo zuri huwa na mwanzo mzuri! Tunatarajia makubwa MKOA WA SIMIYU
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kupo nyuma sanaWewe ni muongo flan hv ameizing!

Hapana unakosea mno! Sasa kumeendelea mno hasa kwasisi tunafahamu maeneo hayo
Hii ni dharau kubwa kwa watu wa Simiyu. Tuombeane naiman tutakwenda sawa kabisa...na mafanikio yatakuja kwa kasi ya ajabuWasukuima na maendeleo ni vitu viili tofauti. Hamieni Morogoro kuna neema!! Mje kutubebea mapakacha ya mboga.
kama mada inavyosema
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwenu ni wap yaan mkoa gan tuanzie hapo kwanza tujue unakotoka ili tukushambulie vizur
Sent using Jamii Forums mobile app