wewe ni mshamba kweli kweli, usafiri wa baiskeli ni mikoa karibu yote tz.Hakika katika mikoa ambayo bado kimaendeleo ni simiyu.
Nilipita bariadi hata lami bado, kutokea shinyanga. Pia katika wilaya ya itilima ni kama kijiji flani tu.
Nilipofika bariadi ni kisukuma tu kwa kwenda mbele.
Nipo meatu hapa, kidogo kumeendelea, lakini cha kilichonishangaza ni baiskeli inatumika kama bodaboda, yaani kupeleka abiria kwenda sehemu mbalimbali.
Sasa matusi ya nini?, toa fact tu sepa mbele, afu unasema '' ulikuwa" long timewewe ni mshamba kweli kweli, usafiri wa baiskeli ni mikoa karibu yote tz.
Majuzi juzi eneo la bahari beach kule Kunduchi usafiri huu ulikuwa unatumika, Arusha pale Mount Meru hotel, Sanawari nk, Tabora, Shinyanga, Mwanza nk
Babe hiyo crdb ndio iliyofunguliwa juzi juzi eenhCRDB au atasema ya wakulima!View attachment 861577
NMB atasema ya waalimu
View attachment 861578
kuna Azania au ndio ya waendesha Baiskeli, lakini hata China wapo hawa!😎😎
View attachment 861579
Ooh nimesahau Mama Samia ana mtaa wake pia umeandikwa kizungu kwa waongea Kisukuma tupu (sijui wataelewa kilichoandikwa au ndio watapoteana).
View attachment 861580
Bebe kuna washamba wengi jijini na huko mijini kwingine wapo!. Hapo bado shule sijazilist!.
Kwa msaada wa Google
Hawapandi ng'odoFursa hiyo mkuu. Sema tulete pikipiki za kutosha. Mpya na used tuwakopeshe tupige hela
Hawataki ukweli but huo ndo ukweli!Sasa matusi ya nini?, toa fact tu sepa mbele, afu unasema '' ulikuwa" long time
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Babe hiyo crdb ndio iliyofunguliwa juzi juzi eenh
Acha uongo ni musoma gani unayoizungumzia hapa?Musoma mjini pia baiakeli hutumika kama boda boda,ni mkoa ambao wanawake kuendesha baiskeli ni kitu cha kawaida mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli rafiki mmekaa usukumani,nimeolewa huko,nawajua vzr na ushamba ndo asili yao!!![emoji2] [emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani hao jamaa na baskeli ni kama kofia na kichwa...Kweli rafiki mmekaa usukumani,nimeolewa huko,nawajua vzr na ushamba ndo asili yao!!![emoji2] [emoji2]
Dogo upo?Kwenu ni wap yaan mkoa gan tuanzie hapo kwanza tujue unakotoka ili tukushambulie vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ukale tu mama, kulala sehemu ipo nzuri home.Babe unipeleke hapa tukienda kwenye chimbo la Ngabu
Nadhani beb sina taarifa, huwa siendi saana home!..Babe hiyo crdb ndio iliyofunguliwa juzi juzi eenh