Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

I agree with you a million percent.
Niliwahi kuongea ukweli huu a while a ago. Simba hatuna striker mwenye hadhi ya kuchezea Simba. Tunapozungumzia Simba kupoteza nafasi nyingi za wazi, tunawazungumzia hawa ma-striker wetu watatu. Bottom line, hawako clinical or tactical katika kumalizia nafasi wanazopata. Wote hawana ball control na akipangwa huyu utatamani angepangwa huyu and vice versa.
 
Wenzetu wana apply ulozi na nasikia mzee yule kawahi Kigoma [emoji23] ila najiuliza Je, watatumia hadi lini makandokando hayo ambayo hayana nguvu sana kwa ulimwengu wa sasa!? Hawa kimataifa watatia aibu sana,tunza maneno haya
We unadhani Simba bila ulozi na figisu za nje ya uwanja angewafunga kina Kaizer Chief pale kwa Mkapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAULI ZAO KABLA YA MECHI

πŸ“ Gomes hajawahi kufungwa VPL
πŸ“ Mtatupigia makofi
πŸ“ Tuna Chama, Morrison, Miquison wanatokaje?
πŸ“ Mmeingia wenyewe Kwenye 18
πŸ“ Tunawataka mje
πŸ“ Kule Zanzibar mlicheza na watoto
πŸ“ Ole wenu mkimbie tena
πŸ“ Wachezaji wenu wa kuokota okota hamna kitu
πŸ“ Kafa KEIZER CHIEFS,Al Ahly ww uto nani bhan

BAADA YA MECHI SASAπŸ˜‚πŸ˜‚

😰 Mumshukuru mzee Mpili
😰 Mmebebwa
😰 Tukutane Kigoma
😰 Kocha angemtoa nyoni mapema
😰 Goli lenyewe lamsaada
😰 Wachawi sana nyie
😰 Mnashangilia kama mmepata Kombe
😰 Bahati haikua kwetu

Kali Zaid Manara anasema Kipindi cha kwanza haikua SimbaπŸ˜‚πŸ˜‚ Sa Cjui waliku Tukuyu StarsπŸ™ŒπŸ€ͺ

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Wewe Subiri kipondo kingine huko Kigoma.. Yanga walikuwa vizuri ndo maana wameshinda kama wewe ulikuwa vizuri si Ungefunga.. Kipindi cha pili umelisakama lango la Yanga Why hukufunga..? Ndo ujue yanga alikuwa vizuri kukudhibiti..
Mtaendele kujipa moyo siku zote na mtaishia kukojolewa kimoko cha mkwezi, tena Yanga ye hatakagi Goli nyingi kimoko tu chamtosha na K yote huko chini inakuwa Nyeng'enyeng'e
 
nilishangaa sana viongozi wa Simba wakati wanajiandaa na mechi kambi yao ilikuwa wazi sana hata kikosi kinachoanza kilijulikana mapema mno
 
Matusi ya nini sasa?Ongea lugha sahili tu kuliheshimisha jukwaa hili la watu wanaojitambua basi

Baada ya mechi ya Kigoma tukutane uchambue tena kwa staha baada ya kunyimwa kombe hilo adhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…